Muhammad El Wahad: What is behind Corona Virus is business and financial gains

Muhammad El Wahad: What is behind Corona Virus is business and financial gains

Ulaya na Marekani wamekuwa wakinunua China in bulk hata kabla ya mkataba mpya wa biashara wa Trump.
Director General wa Adidas ametangaza uzalishaji katika viwanda vyao vya China umeanza tena baada ya rais Xi Jinping kutangaza hali salama.

Ulaya na Marekani supermarkets zinaishiwa na bidhaa na watakwenda kununua China in bulk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia pia ni nchi ambayo inajitosheleza sana kwa rasimali na uzalishaji wa ndani,raia wake wengi wanasafiri zaidi Ulaya ambako ni wateja wao wakubwa wa gesi na mafuta.
Urusi ni kama India japo nchi ni tajiri lakini watu wake bado wanakipato cha chini kilinganisha na western countries. Kuwa karibu na China sio sababu ya watu kuvuka mipaka na kuingia nchi nyingine, Russia ilikuwa ni nchi ya kwanza kutoa tahadhari kwa watu wake maybe imesaidia kuwalinda. Na nadhani Russia wamefanya hivyo kwasababu waligundua mapema kama ugonjwa huu unashamulia na kuuwa wazee zaidi kuliko vijana wenye afya nzuri. Na Russia ina wazee wengi kuliko vijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini Pentagon hawazigawi hizo antidotes kwa Wamarekani wanaougua.
Nope nachotaka kusema miongoni mwa hao Askari wa marekani walikuwemo majasusi ambao walikua na vials za virus na walivipandikiza eneo la Wuhan makusudi,
Nachotaka kusema Ni kuwa uwezekano mkubwa upo,pentagon Wana antidotes za corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Propoganda ndivyo zilivyo haziwezi kuwa zinafanana zote ndio maana ni muhimu kuamini tafiti za kisayansi ambazo watu wamefanya utafiti na wote huwa wanazungumza lugha moja.
Sasa tunachanganyana wengine wanahisi marekani ndio katengeneza alafu amewatupia wachina

Wewe unasema China wametengeneza wenyewe

Mwaka huu tutasikia mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kupata picha hata kidogo kwa sababu hakuna facts zozote huko,ni kama vile kitabu cha riwaya ya kutunga.
Search kuhusu 5G Launching in Wigan

Pia fuatilia -Why America is Afraid of Huawei' s 5G..
Ukimaliza hizo nafkiri utakua umepata picha kidogo ya nini kinaendela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori inazungumzia vita vya biashara sio population control au kutumia hela za kidigitali sasa wewe inakupa kaukweli fulani kapi? Mbona ni mambo tofauti kabisa!
Kuna Agenda 21 ya kupunguza watu duniani...hii corona yaweza pelekea nchi zikaacha kutumia pesa za makaratasi na shilling ili kuepuka kusambaza virusi hivyo tukaishia kutumia hela kidigitali...mfano mpesa na kadi za benki..huo ni mpango wa NWO.....

Hii sehemi inanipa kaukweli flani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uko sawa kabisa china ndo ananufaika zaidi na athari za covid 19..ngoja sasa aje atusainishe mikataba ya kitwana ili atusaidie kupambana na corona
AFRICA NA ULAYA NI WAHANGA WA GLOBAL WAR ON ECONOMY SUPREMACY kati ya china na marekani
 
Atanufaikaje wakati wateja wake wamejifungia ndani na wananunua mahitaji muhimu tu kwa sasa?
Mashine,vifaa vya ujenzi,furniture na vifaa vya michezo ndio bidhaa kubwa za China kwenda Marekani na Ulaya,kwa sasa hivyo vyote havihitajiki sababu kazi zimesimama sasa China ananufaikaje?

Hizo masks pekee sasa hivi ni bidhaa inayohijika duniani kote. Nadukani zimekwisha unapata kutoka ebay na Amazon. Zote zinatoka China
 
Ili kuanguangusha himaya na kuinuka kwa himaya kuu nyingine lazima haya yatokee
China alitamani usa aingiie vitani na irani ile ampige proxy war kwa kusaidiana na russia na mahasimu wengine wa usa.marekani akashitukia dili..CHINA NDO WALIOTENGENEZA VIRUS they gain much financially and strategically from the aftermath of covid 19
fuatilia global stock market utaelewa
 
Zote hazitoki China lakini hata kama zote zingekuwa zinatoka China hazitaweza kufidia hata nusu ya thamani ya mauzo ya bidhaa nyingine watakayopoteza kutokana na corona.
Hizo masks pekee sasa hivi ni bidhaa inayohijika duniani kote. Nadukani zimekwisha unapata kutoka ebay na Amazon. Zote zinatoka China

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US Haijawahi kuacha kuwa vitani,wakati wote wa uhai wake iko vitani.
Ili kuanguangusha himaya na kuinuka kwa himaya kuu nyingine lazima haya yatokee
China alitamani usa aingiie vitani na irani ile ampige proxy war kwa kusaidiana na russia na mahasimu wengine wa usa.marekani akashitukia dili..CHINA NDO WALIOTENGENEZA VIRUS they gain much financially and strategically from the aftermath of covid 19
fuatilia global stock market utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Time will tell mkuu.,
Nadhani huu mchezo wa genetic modifications wa viumbe ni hatari sana kwetu,athari za genetic modified species ni kubwa kuliko faida.
Kwa mtu yeyote mwenye knowledge japo kidogo ya biotech atajua hawa retrovirus wanakuwaboosted kwa malengo fulani?HUU MCHEZO KUNA SIKU UTALETA MDUDU ATAKAYE FUTA SPECIES YA MWANADAMU
 
Back
Top Bottom