Muhammad El Wahad: What is behind Corona Virus is business and financial gains

Unataka kusema china yeye haja athirika kibiashara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Director General wa Adidas ametangaza uzalishaji katika viwanda vyao vya China umeanza tena baada ya rais Xi Jinping kutangaza hali salama.

Ulaya na Marekani supermarkets zinaishiwa na bidhaa na watakwenda kununua China in bulk.
 
Ni baada ya tukio la michezo ya kijeshi Wuhan mwezi October ndipo ugonjwa ukaripuka.
U.S. delegation arrives in Wuhan for Military World Games
SourceXinhuanetEditorHuang PanyueTime2019-10-15 15:39:56
WUHAN, Oct. 15 (Xinhua) -- A group of 17 athletes from the U.S. Armed Forces has arrived at the airport in the central Chinese city of Wuhan for the up-coming 2019 Military World Games here on Monday midnight.

About 300 athletes from the United States are expected to arrive in the next 2 days.

Mark Juliano, a U.S. archery and taekwondo player, said he believed his compatriots would do very well in events like running sports, triathlon, archery and taekwondo.

He said that he had read news reports about the preparatory work of the Military World Games here in Wuhan and watched videos about the athletes' village and the venues.

"You developed world-class venues and I can't wait to experience the Games," he said, adding that he also planned to visit several local scenic spots, including the Yellow Crane Tower and a buddhist temple.

Catherine Paris, a U.S. volleyball player, said she would play her best and expected tough competition in women's volleyball.

Earlier this year, Paris and her Navy teammates won a silver medal in the Armed Forces Women's Volleyball Championships in Fort Bragg, NC.

The Military World Games is a multi-sport event that has taken place every four
 
Hii mbona sioni ikisema walipandikiza virusi. Au nimeruka?
 
Januari USA waliongea biashara na China. China kawaida yao wana shusha thamani ya pesa ili wauze bidhaa zao kwa wingi nje ya nchi. Kwa mbinu hii USA na dunia nzima wanapoteza kibiashara mshindi ni China.

Jambo lingine tena ukiwa unabiashara unataka kuifanyia China inabidi utoe technology ya biashara yako kwaserikali ili upate kibali cha kufanya biashara.

Januari Trump aliwasisitiza sana China wafanye biashara bila kushusha thamani ya pesa, China walitia saini mkataba lakini hawakuridhika na makubaliano.

Baada ya hapo Corona Virus alianzia Wahuan nchini China. Januari hiyo hiyo. Wiki mbili baadae idadi ya waliokufa kwa corona virus duniani ili fika 8,000.

wiki iliyopita Xi Jinping rais wa China akiwa Wahuan alisema wamedhibiti ugonjwa. Sasa hivi hakuna habari mpya za mgonjwa wala kifo kutoka China. Idadi ya raia wa China ni 1.4 billion.

Ukija kwenye huduma za afya huwezi kulinganisha matibabu ya China na nchi za Magharibi ya Ulaya na Marekani.

Katika maajabu corona virus anasambaa Ulaya Magharibi na Marekani wakati China wameweza kumdhibiti. France, Italy, England na Marekani sasa wanapambana na corona. Walati Urusi anaepakana na China ameripoti mgonjwa mmoja tu.

Kutoka India kwenda China ni maili 100 na wana idadi ya watu 1.5 billion lakini wana wagonjwa 60. Italy in watu milioni 65 na imeripoti wagonjwa 12,000.

Tangu corona virus isambae stock exchange market imeshuka sana hasa kwa nchi za Magharibi. Sasa hivi China ndiye mnunuzi mkubwa wa share kupitia makampuni ya serikali.

Kwa kifupi Januari Trump aliwapush mno China, waliingia mkataba ambao hawakuupenda. Wameleta kirus na sasa kinamchanganya Trump na rafiki zake.

Well, theory yako ina walaki kutokana na hakuna mwenye uhakika kama ni kweli ugongwa ilianzishwa na Wachina au Wamarekani. Sisemi kama ni kweli au sio kweli lakini kuna sababu nyingine pia zinazoweza kuchangia kwanini huu ugonjwa umeweza kutapakaa nchi za Magharibi kwa haraka ukilinganisha na nchi za India, Russia au Afrika.

kilichopelekea huu ugongwa kukuwa sana kwenye nchi za Magharibi na Marekani, ni pamoja na nchi hizo kuwa na kipato cha juu kinachowawezesha kusafiri kati ya China na nchi zao za Maghararibi. Nchi nyingi za Magharibi walifunga viwanda vyao vya kuzalisha bidhaa ndogo-ndogo ktk miaka ya 70, China akachangamkia fursa miaka ya 80, leo hii hakuna nchi inaweza kujitosheleza bila ya bidhaa za kutoka China. Japo India ni nchi inayo pakana na China, lakini wahindi wengi bado ni watu kipato chini na hapo hapo wanategema sana bidhaa zinazo zalishwa ndani ya India kuliko nje.

Ugonjwa umeweza kushamiri kwenye nchi za Magharibi kwa kasi kutokana na sababu mbili, kwanza nchi za Magharibi watu wao wako very social and free (hakuna vita na wengi wanakazi na pesa mifukoni), na cha pili, nchi za Magharibi zina wazee wengi wanaoishi maisha mrefu 70,80,100 years old. Lakini hapo hapo hao wazee wengi wana underlying health issues ikiwa pamoja na magonjwa ya kupumua, virusi vya corona vinapenda kukaa kwenye mapafu ya watu na kuwapunguzia uwezo wa kupumua kirahisi.
 
Well, theory yako ina walaki kutokana na hakuna mwenye uhakika kama ni kweli ugongwa ilianzishwa na Wachina au Wamarekani. sisemi kama ni kweli au sio kweli lakini kuna sababu nyingine pia zinazoweza kuchangia kwanini huu ugonjwa umeweza kutapakaa mchi za Magharibi kwa haraka ukilinganisha na nchi za India, Russia au Afrika.

kilichopelekea huu ugongwa kukuwa sana kwenye nchi za Magharibi na Marekani, ni pamoja na nchi hizo kuwa na kipato cha juu kinachowawezesha kusafiri kati ya China na nchi zao za Maghararibi. Nchi nyingi za Magharibi walifunga viwanda vyao vya kuzalisha bidhaa ndogo-ndogo ktk miaka ya 70, China akachangamkia fursa miaka ya 80, leo hii hakuna nchi inaweza kujitosheleza bila ya bidhaa za kutoka China. Japo India ni nchi inayo pakana na China, lakini wahindi wengi bado ni watu kipato chini na hapo hapo wanategema sana bidhaa zinazo zalishwa ndani ya India kuliko nje.

Ugonjwa umeweza kushamiri kwenye nchi za Magharibi kwa kasi kutokana na sababu mbili, kwanza nchi za Magharibi watu wao wako very social and free (hakuna vita na wengi wanakazi na pesa mifukoni), na cha pili, nchi za Magharibi zina wazee wengi wanaoishi maisha mrefu 70,80,100 years old. Lakini hapo hapo hao wazee wengi wana underline health issues ikiwa pamoja na magonjwa ya kupumua, virusi vya corona vinapenda kukaa kwenye mapafu ya watu na kuwapunguzia uwezo wa kupumua kirahisi.
Nimekuelewa sana ndugu hasa COPD ni tatizo kubwa Ulaya na Marekani na sababu kubwa ni matumizi ya tumbaku miaka ya 90 na pia Asbestos ilichafua mazingira.

Vipi kuhusu Urusi ambako anapakanana China kwa kilometer kadhaa lakini haja athirika?
 
Nimekuelewa sana ndugu hasa COPD ni tatizo kubwa Ulaya an Marekani na sababu kubwa ni matumizi ya tumbaku miaka ya 90 na pia Asbestos ilichafua mazingira.

Vipi kuhusu Urusi ambako anapakanana China kwa kilometer kadhaa lakini haja athirika?

Urusi ni kama India japo nchi ni tajiri lakini watu wake bado wanakipato cha chini kilinganisha na western countries. Kuwa karibu na China sio sababu ya watu kuvuka mipaka na kuingia nchi nyingine, Russia ilikuwa ni nchi ya kwanza kutoa tahadhari kwa watu wake maybe imesaidia kuwalinda. Na nadhani Russia wamefanya hivyo kwasababu waligundua mapema kama ugonjwa huu unashamulia na kuuwa wazee zaidi kuliko vijana wenye afya nzuri. Na Russia ina wazee wengi kuliko vijana.
 
Yaani upo Kenney point mkuu..China kupitia kampuni Yao ya Huawei walikua washabuni network ya 5G na walikua washaanza kuitumia katika miji mingi na hii 5G waliizindulia Wuhan mwishoni wa mwaka 2019...soo Huawei alikua ashapata wateja kutoka serikali za nchi nyingine hasa Ulaya na Australia..hii ndo kitu kilichowatisha wamarekani.hawakutaka 5G Network itokee China kwakisingizio kuwa hawawezi kuiamini kampuni inayoongozwa na serikali ya kikomunist ya China...soo wakaunda propaganda kua 5G inasababisha mafua nk...
Marekani wameurusha huo ugonjwa China ili kuwachanganya China na 5G Yao...
Hii ni vita ya kibiashara..na bahati Mbaya USA katoa virus inayotesa hadi kwake na kwa wapambe wake...
Kuna Agenda 21 ya kupunguza watu duniani...hii corona yaweza pelekea nchi zikaacha kutumia pesa za makaratasi na shilling ili kuepuka kusambaza virusi hivyo tukaishia kutumia hela kidigitali...mfano mpesa na kadi za benki..huo ni mpango wa NWO.....
Serikali nyingi zinaelekea kuanguka...viongozi kujiuzulu kwa wingi kutokana na serikali zao kufeli au madai tofauti...amkeni ndugu ..mwisho wa siku inatakiwa ibaki serikali moja...maeneo ya ibaada nayo yatapigwa marufuku...hii itarahisisha kuletwa kwa dini moja...haiwezi chukua mda mrefu yote hayo kutimizwa ..ila inahofiwa kabla ya 2025 mambo yanaweza kuwa ni magumu na ya ajabu kiasi kwamba watu hawatakua wanaamini wamefikiaje hatua ya kuishi maisha kama hayo...

Ikumbukwe ishatabiriwa hata wakitoa dawa ya hii covid-19 bado ishatabiriwa kua ugonjwa wa aina hii utarudi ten a....na kwa panic iliyoko duniani saizi kuhusu corona na bado hatujajua mwisho wake utaishiaje,jiulize itakuaje kama ugonjwa kama huo ukitangazwa kurudi duniani????
Billgates alishatabiri kuwa kuna gonjwa litakuja na kuua watu millioni30-60.....hawa jamaa wanajua wakifanyacho...depopulation agenda na serikali kubwa kuziteka serikali ndogo ndo kifuatacho
 
Januari USA waliongea biashara na China. China kawaida yao wana shusha thamani ya pesa ili wauze bidhaa zao kwa wingi nje ya nchi. Kwa mbinu hii USA na dunia nzima wanapoteza kibiashara mshindi ni China.

Jambo lingine tena ukiwa unabiashara unataka kuifanyia China inabidi utoe technology ya biashara yako kwaserikali ili upate kibali cha kufanya biashara.

Januari Trump aliwasisitiza sana China wafanye biashara bila kushusha thamani ya pesa, China walitia saini mkataba lakini hawakuridhika na makubaliano.

Baada ya hapo Corona Virus alianzia Wahuan nchini China. Januari hiyo hiyo. Wiki mbili baadae idadi ya waliokufa kwa corona virus duniani ili fika 8,000.

wiki iliyopita Xi Jinping rais wa China akiwa Wahuan alisema wamedhibiti ugonjwa. Sasa hivi hakuna habari mpya za mgonjwa wala kifo kutoka China. Idadi ya raia wa China ni 1.4 billion.

Ukija kwenye huduma za afya huwezi kulinganisha matibabu ya China na nchi za Magharibi ya Ulaya na Marekani.

Katika maajabu corona virus anasambaa Ulaya Magharibi na Marekani wakati China wameweza kumdhibiti. France, Italy, England na Marekani sasa wanapambana na corona. Walati Urusi anaepakana na China ameripoti mgonjwa mmoja tu.

Kutoka India kwenda China ni maili 100 na wana idadi ya watu 1.5 billion lakini wana wagonjwa 60. Italy in watu milioni 65 na imeripoti wagonjwa 12,000.

Tangu corona virus isambae stock exchange market imeshuka sana hasa kwa nchi za Magharibi. Sasa hivi China ndiye mnunuzi mkubwa wa share kupitia makampuni ya serikali.

Kwa kifupi Januari Trump aliwapush mno China, waliingia mkataba ambao hawakuupenda. Wameleta kirus na sasa kinamchanganya Trump na rafiki zake.
Para yako ya mwisho ni dhana ambayo haina mashiko na ni mwendelezo wa US na watu wake kutafuta wa kumroga na kujikuta wamejiroga wenyewe.
 
Ni baada ya tukio la michezo ya kijeshi Wuhan mwezi October ndipo ugonjwa ukaripuka.
U.S. delegation arrives in Wuhan for Military World Games
SourceXinhuanetEditorHuang PanyueTime2019-10-15 15:39:56
WUHAN, Oct. 15 (Xinhua) -- A group of 17 athletes from the U.S. Armed Forces has arrived at the airport in the central Chinese city of Wuhan for the up-coming 2019 Military World Games here on Monday midnight.

About 300 athletes from the United States are expected to arrive in the next 2 days.

Mark Juliano, a U.S. archery and taekwondo player, said he believed his compatriots would do very well in events like running sports, triathlon, archery and taekwondo.

He said that he had read news reports about the preparatory work of the Military World Games here in Wuhan and watched videos about the athletes' village and the venues.

"You developed world-class venues and I can't wait to experience the Games," he said, adding that he also planned to visit several local scenic spots, including the Yellow Crane Tower and a buddhist temple.

Catherine Paris, a U.S. volleyball player, said she would play her best and expected tough competition in women's volleyball.

Earlier this year, Paris and her Navy teammates won a silver medal in the Armed Forces Women's Volleyball Championships in Fort Bragg, NC.

The Military World Games is a multi-sport event that has taken place every four
Unataka kusema ni askari wa US tu ndio waliokuwepo huko Wuhan?

Chanzo kikuu ni ulaji wa popo mwenye virusi vingi vya Corona.

Mengine ni Propaganda tu.
 
Sure, but didn't they try to blame the U.S in the first place? He called it the "Chinese virus" because Chinese media has been claiming that the virus originated from the US. He called a spade a spade.
Both sides are trying to deflect their own domestic criticism on how they handled the pandemic, nothing more.
 
Yaani upo Kenney point mkuu..China kupitia kampuni Yao ya Huawei walikua washabuni network ya 5G na walikua washaanza kuitumia katika miji mingi na hii 5G waliizindulia Wuhan mwishoni wa mwaka 2019...soo Huawei alikua ashapata wateja kutoka serikali za nchi nyingine hasa Ulaya na Australia..hii ndo kitu kilichowatisha wamarekani.hawakutaka 5G Network itokee China kwakisingizio kuwa hawawezi kuiamini kampuni inayoongozwa na serikali ya kikomunist ya China...soo wakaunda propaganda kua 5G inasababisha mafua nk...
Marekani wameurusha huo ugonjwa China ili kuwachanganya China na 5G Yao...
Hii ni vita ya kibiashara..na bahati Mbaya USA katoa virus inayotesa hadi kwake na kwa wapambe wake...
Kuna Agenda 21 ya kupunguza watu duniani...hii corona yaweza pelekea nchi zikaacha kutumia pesa za makaratasi na shilling ili kuepuka kusambaza virusi hivyo tukaishia kutumia hela kidigitali...mfano mpesa na kadi za benki..huo ni mpango wa NWO.....
Serikali nyingi zinaelekea kuanguka...viongozi kujiuzulu kwa wingi kutokana na serikali zao kufeli au madai tofauti...amkeni ndugu ..mwisho wa siku inatakiwa ibaki serikali moja...maeneo ya ibaada nayo yatapigwa marufuku...hii itarahisisha kuletwa kwa dini moja...haiwezi chukua mda mrefu yote hayo kutimizwa ..ila inahofiwa kabla ya 2025 mambo yanaweza kuwa ni magumu na ya ajabu kiasi kwamba watu hawatakua wanaamini wamefikiaje hatua ya kuishi maisha kama hayo...

Ikumbukwe ishatabiriwa hata wakitoa dawa ya hii covid-19 bado ishatabiriwa kua ugonjwa wa aina hii utarudi ten a....na kwa panic iliyoko duniani saizi kuhusu corona na bado hatujajua mwisho wake utaishiaje,jiulize itakuaje kama ugonjwa kama huo ukitangazwa kurudi duniani????
Billgates alishatabiri kuwa kuna gonjwa litakuja na kuua watu millioni30-60.....hawa jamaa wanajua wakifanyacho...depopulation agenda na serikali kubwa kuziteka serikali ndogo ndo kifuatacho
hakuna uhakika katika habari hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema ni askari wa US tu ndio waliokuwepo huko Wuhan?

Chanzo kikuu ni ulaji wa popo mwenye virusi vingi vya Corona.

Mengine ni Propaganda tu.
Hivi hata virusi vya Ebola vimetoka kwenye ndege mkuu?
 
Unataka kusema ni askari wa US tu ndio waliokuwepo huko Wuhan?

Chanzo kikuu ni ulaji wa popo mwenye virusi vingi vya Corona.

Mengine ni Propaganda tu.
Nope nachotaka kusema miongoni mwa hao Askari wa marekani walikuwemo majasusi ambao walikua na vials za virus na walivipandikiza eneo la Wuhan makusudi,
Nachotaka kusema Ni kuwa uwezekano mkubwa upo,pentagon Wana antidotes za corona
 
Hilo pia sio rahisi, sidhani kama kuna nchi inaweza kufanya uhalifu kama huo kwa dunia ya sasa.

Kama Silaha za kemikali zinapigwa Vita kutumika (japo Syria zilitumika ila bado kuna utata nani hasa mhusika) je silaha ya kibaolojia kama kupandikiza virusi si ndio zaidi hazitakiwi kabisa.
 
Back
Top Bottom