jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Ugoro huu!!!Niliwahi sema hapa ndani hatujui jinsi ya kulinda tunu zetu..!!! Jiweke kwenye nafasi ya Rose ndio utajua.maumivu yake.!! Labda unamfahamu Rose lakini tupo tunaomfahamu zaidi yako..
Nchi hii aliwahi ondoka Baraka Mwishehe akahamia Kenya ba kufia Kenya.
Aliondoka Ray C akiwa maarufu na anafanya vema sana alirudi Ray c mwingine kabisa.
wameondoka wengi sana kwenda Kenya..tunachoambulia ni nini?
kwanini wanaondoka..
Nchi yetu ukipata mafanikio kidogo unakuwa target ya watu kukutumiankwa faida yao ili wakuangamize..
magazeti radio kila mahali fitna tu.!!tunayaona kwa Diamond platnum.
Tumeyaona kwa francis Cheka..
Tuliyaona hata kwa Taifa stars chini ya Marcio Maximo.!!
Nadhani huku kwetu kuna watu sio wenye Nchi hii uswahili ni Mwingi mnoooo.
Rose Muhando fanya uonalo ni jema kwako.
Mhando kwisha habari yake!!!