Muhando: I have no choice but to move to Kenya

Muhando: I have no choice but to move to Kenya

Niliwahi sema hapa ndani hatujui jinsi ya kulinda tunu zetu..!!! Jiweke kwenye nafasi ya Rose ndio utajua.maumivu yake.!! Labda unamfahamu Rose lakini tupo tunaomfahamu zaidi yako..
Nchi hii aliwahi ondoka Baraka Mwishehe akahamia Kenya ba kufia Kenya.
Aliondoka Ray C akiwa maarufu na anafanya vema sana alirudi Ray c mwingine kabisa.
wameondoka wengi sana kwenda Kenya..tunachoambulia ni nini?
kwanini wanaondoka..
Nchi yetu ukipata mafanikio kidogo unakuwa target ya watu kukutumiankwa faida yao ili wakuangamize..
magazeti radio kila mahali fitna tu.!!tunayaona kwa Diamond platnum.
Tumeyaona kwa francis Cheka..
Tuliyaona hata kwa Taifa stars chini ya Marcio Maximo.!!
Nadhani huku kwetu kuna watu sio wenye Nchi hii uswahili ni Mwingi mnoooo.
Rose Muhando fanya uonalo ni jema kwako.
Ugoro huu!!!
Mhando kwisha habari yake!!!
 
Umeona sasa hawa nao.. kweli gazeti la ijumaa ndio gazeti la kukoti kweli?
 
Basi wakenya kwa kujifanya malaika kuliko watanzania, lkn mnajifanya mna upendo wa kinafiki wakati nyie wenyewe huko kwenu hampendani. So stupid nyie!!!
In my whole life sijapata kuone artist mkenya ameangushwa na Wakenya akahamia kwa majirani. Tukitoa list ya Wabongo waliofanikiwa tu baada ya kuvuka border utaona kuna kitu hapo. There is a problem but haimaanishi Kenya is the solution
 
Aje tu mama jameni Watanzania lini mtaanza kuheshimu na kusheherekea mafanikio ya watu wenu, mnaendesha kila kitu kwa majungu. Chochote kizuri mnakiandama na kuharibu, huyu mama amechangamsha Afrika Mashariki kwa bidii yake, sasa mumemzonga hadi ameamua kuhamia Kenya kabisa.

Karibu mami, tutakusaidia kuinuka tena na utang'aa na kendesha injili kwa nyimbo zako. Makanisa ya Kenya yampokee na kumpa ushirikiano wa hali ya juu. Akitaka apewe na uraia kabisa.
Anahamia huko kama alivyofanya mr. Nice.
Wakishakuwa rejected na jamii ndio wanasema wanapigwa majungu!!!!
Majungu gani hayo?
Si afyatue vibao aone kama hatutanunua!!!

Wakenya hamjui mizinguo ya huyu kibibi.

Na nyie kweli mnamuamini akisema kiongozi wa kiroho anamtaka kimapenzi?

Niishie hapo kwanza.
 
Mie natafakari tu....hiv bishop hajaona vigoli vingine vitamu zaidi hadi atishie kuuwa kisa papuchi?! I dont buy this story....tuwe wakweli jamani hiv wanaume wakishakuwa na hela wanapenda wanawake wazee au vijana??!
 
Niliwahi sema hapa ndani hatujui jinsi ya kulinda tunu zetu..!!! Jiweke kwenye nafasi ya Rose ndio utajua.maumivu yake.!! Labda unamfahamu Rose lakini tupo tunaomfahamu zaidi yako..
Nchi hii aliwahi ondoka Baraka Mwishehe akahamia Kenya ba kufia Kenya.
Aliondoka Ray C akiwa maarufu na anafanya vema sana alirudi Ray c mwingine kabisa.
wameondoka wengi sana kwenda Kenya..tunachoambulia ni nini?
kwanini wanaondoka..
Nchi yetu ukipata mafanikio kidogo unakuwa target ya watu kukutumiankwa faida yao ili wakuangamize..
magazeti radio kila mahali fitna tu.!!tunayaona kwa Diamond platnum.
Tumeyaona kwa francis Cheka..
Tuliyaona hata kwa Taifa stars chini ya Marcio Maximo.!!
Nadhani huku kwetu kuna watu sio wenye Nchi hii uswahili ni Mwingi mnoooo.
Rose Muhando fanya uonalo ni jema kwako.
Acha ujinga wako bwana... Wapi na nchi IPI mastaa hawaandamwi .....

Kila sehemu duniani ukiwa star unakuwa umebeba mzigo wa miba .. Hebu fuatilia kifo cha princes Diana Chauffeur and paparazzi to blame for Diana death, jury finds

Halafu usiwe muongo muongo tunamjua ray c zaidi yako wewe, ray c alihamia Nairobi kwa sababu ya tiba ya madawa ya kulevya na alikuwa akikataa kuwa hatumii madawa ....

Narudia tena kusema mchawi wa rose na yeye mwenyewe , aache madawa ... Endeleeeni kumtetea ila muda ndio hakimu wa kweli ....

Chid Benzi
Ray C
Lord Eyes
Daz Baba
Furuz

Wote hawa kama wewe ni mfuatiliaji wa Bongo fleva hawakuwahi kukiri kuwa wanatumia madawa mpaka muda ulipowaweka hadharani ....

Rose muhando acha madawa mama yangu ...
 
Jameni, macho yangu yatoa povu kwa machozi, kwani mateso alonayo muhando hayapimiki kwa mizani, kwani aliyemtukana siye adui yake, ni rafiki yake yuamjua sana, walikula pamoja, kusali pamoja, kanisani pamoja, Bwana asifiwe kwa sala. Kumbe mwenzake alikusudia kumwangamiza!!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
this is 'ujamaa' at work...Nyerere finished these guys!....uchawi uliopo kule Tz ni wa kustaajabisha...huwezi ukaendelea maishani....wakikuona unapaa wanakuroga...nina marafiki wengi watz wanaishi hapa Nairobi wanasema hawawezi wakarudi kule kwao tena kwa sababu ya ushirikina na uchawi...welcome Rose Muhando..njoo ktk mji wa Londoni..you will find peace...
Mchukueni na makorokoro yake, mtu yeyote mwenye hekima na busara na ufahamu halisi hawezi kufanya hizi irrational behaviors! Muoe kabisa basi! Wewe Jay456watt unae kaa kwenye mabox mkapeane cholera, afanalek walahi, wewe ni mpuuzi pasee!
 
Reject? With her level of accomplishme
nt, u call her....a reject? SMH?
Kwann sasa unasema hivi? Just bcos she's exiling to Kenya?

Hii si kitu poa kumuita "reject". Kama ana makosa ya uporaj wa hela, unavyosemekana kusema, basi achukuliwe hatua za kisheria, lakn hapa anasema anadhulumiwa na watu flani.....sir, u surely are more sensible than this. She is a victim of harasment; harassment in its worst forms including slander, sex and threats to her life- for christ's sake!
She deserves your sympathy and understanding.

Mara ya mwisho katoa wimbo wa maana lini? Reject huyo anatapatapa.
 
Hiv Wakenya hawawezi kutengeneza vitu vyao?,kiu kiking`aa huku wanasema chao,Diamond wao,Gabo wao,Serengeti yao,Kilimanjaro wao......hawa jamaa ni viazi sana
 
Mara ya mwisho katoa wimbo wa maana lini? Reject huyo anatapatapa.
Okay, labda ako na issues huyo dada. Sijui.
I am not a fan of hers, or gospel music for that matter, but she's always struck me as such a descent lady, but with all the things I am reading here, I am not so sure now.
 
this is 'ujamaa' at work...Nyerere finished these guys!....uchawi uliopo kule Tz ni wa kustaajabisha...huwezi ukaendelea maishani....wakikuona unapaa wanakuroga...nina marafiki wengi watz wanaishi hapa Nairobi wanasema hawawezi wakarudi kule kwao tena kwa sababu ya ushirikina na uchawi...welcome Rose Muhando..njoo ktk mji wa Londoni..you will find peace...
U brainless idiot leave Nyerere out of this! Rose has her own problems which doesn't relate to the Country in any how! Just take her current and previous photo compare probably ur pumpkin will get ideas! Back to ur Tzanian friends who are there its very normal mtu ukienda hustle kwingine and u manage to push it thru hutakumbuka kurudi kwenu! Mbona huku tuna wakenya kibao hawawazi wala hawataki kurudi huko wanatengeneza familia huku!
Kuhusu ushirikina Africa is one niambie wapi hakuna ushirikina? Kwanza ushirikina haumfuati mtu nyumban labda wewe mwenyewe uende kwa sangoma! Acha viroba akili iweze kufanya kazi vizuri fala wewe!
 
Ooh Rose hivi kinamshinda kipi kumexpose huyo anaetaka kumuua every day anaulizwa who the hell threatening your life eti siwezi kumtaja ataniua some sort of cheap bullshits I won't buy in any how

Let her get killed first then will deal with the murderer after then that's her desire thank you.
 
Harsh. This is harsh.
 
Rose kama unasoma uzi huu unapaswa kutubu! na wewe unajua kabisa unadanganya..adui yako ni wewe mwenyewe..ulipomuacha Mungu na kuanza kufanya biashara ya music ndipo ulipoharibu. usidhani kukimbilia kenya au popote umekimbia matatizo yako. shetani uliyemfungulia milango ataendelea kukutesa hadi utakapotambua kwa nn Mungu alikupa kipaji ulichonacho! kataa kwa gharama zote lakin ukweli unaujua ww na shetani anajua na Mungu anajua kuwa wewe ni mwathirika wa drugs na zinaa! huu muda unaotumia kudanganya dunia ni heri ungetengeneza na Mungu. Mungu ni mwenye rehema anza upya hakuna mwanadam mkamilifu..unapoendelea kujitetea unajiharibia mwenyewe. nenda kenya nenda popote lakni kumbuka bila aliyekupa kipaj hicho kukuridhia wakenya is nothing!. umeharibu..tengeneza..thats is only solution. visingizio vingiii mara bishop anakutaka hio inaonyesha ulishaporomoka kiroho. bishop mzima tena unadai ana hela akutake! nonsense. yuko mwimbaji bahati bukuku aliharibu lakini alipogunda alikiri akaomba msamaha kwa Mungu wake na tumempokea na anasonga mbele. wewe unalinganisha injili na bongo flava. unataka uiweke injili kwenye kundi moja na akina diamnd!! MUNGU ANA WIVU NA KILA ALITAJAE JINA LA BWANA AUCHE UOVU...unaweza kumlaumu bishop na kila mtu kumbe unachapwa na Mungu.
 
Back
Top Bottom