Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Serikali inapata faida ipi,kuwatumia wauza unga?
 
K Kwa hio jaji amegushi hukumu?
 
Shkuba hakukamatwa na kazi,, ndo mana kesi yake haikuwa nzito kiivyo ila chonchi na akina tanaruza wao walikamatwa na kazi tena nyingi ndo wamenyoa,,
Una mbwembwe, kwaiyo marekani walimfunga shkuba na kina Tiko bila kuwa na vidhibiti vyovyote? Halafu kazi ndio nini? Inaonekana nawewe ndio biashara zako bwana mdogo.
 
Madawa mengi yanakuja SA utanisimulia kuhusu madawa au kuhusu hao vijana ambao wengi wao wanaingia humo tunawaona pana kitu gani kigumu hapo?
Nimeishi SA, Ninao Rafiki zangu SA wanafanya hizo mishe...! Nakwambia ninachokijua...!

Huwezi kukurupuka tu na shida zako ukasema nataka kuanza kuuza Madawa..! Dealer huwachagua Watu, na sio wewe ndo unaamua..... Unaweza kuamua na usijue hata Madawa yenyewe unapata wapi...!
 
Una mbwembwe, kwaiyo marekani walimfunga shkuba na kina Tiko bila kuwa na vidhibiti vyovyote? Halafu kazi ndio nini? Inaonekana nawewe ndio biashara zako bwana mdogo.
Wewe mporipori sijui mlugaluga wa wapi
Unaelewa hata code zilizoandikwa kwenye hio posti au unavagabaa vitu hata huelewi ?
 
Huwezi kukurupuka tu na shida zako ukasema nataka kuanza kuuza Madawa
Achana naye huyo, kama kupata kibarua cha kubeba zege ni ngumu kupata bila 'connection', je kwenye unga?? Halafu jamaa huwa na akili za ziada wale! Yaani polisi walipoishia kufikiri, wenyewe ndiyo huanzia hapo!

Hii elimu huwezi kuipata bila ya kuielewa mtaa! Elimu ya kitaa na siyo ya darasani ambayo inaruhusu kukariri wakati mtaa hautaki kukariri! We huoni humu wengi wanaojiliza kuhusu ajira wengi wao wana elimu za darasani!
 
Sio kweli bhana wajinga wengi Cape Town waliingia kwenye hiyo mishe kwa kupata huo mchongo kirahisi tu wengine wamenyongwa China,wamefungwa Brasil,Peru na Hong Kong kuishi SA haimaanishi utajua kitu wengi wameishi SA na hakuna kitu wanajua zaidi ya kusema hiki hakiwezekani mimi nipo Road narudi kutoka SA wengine wapo hapo Botswana Jela walitamanishwa wakaacha kazi yao ya kusafirisha mizigo wakapakia Bwimbwi wameisha...yaani Sembe limezaga daslm unasema usilione wawapi wewe?.
 
Una mbwembwe, kwaiyo marekani walimfunga shkuba na kina Tiko bila kuwa na vidhibiti vyovyote? Halafu kazi ndio nini? Inaonekana nawewe ndio biashara zako bwana mdogo.
Shida ya humu kila mtu,,, mjuaji, ana hela, msomi, kitengo etc. Kama mimi ndio biashara zangu nipeleke basi mahakamani, alafu usiniite bwana mdogo, unijui sikujui.
 
Tracking ni kusafirisha,,
Especially nje ya inchi ,,au mkoani ,,, mfano airport, bandarini,kwenye vituo vya magari.
Hata ukikutwa ndani ya mji kwenye bus au gari basi police wanaweza wakaamuwa kukupa either dealing au posession na sio trafficking.
Huwezi kumkuta mtu nyumbani kwake useme trafficking..
Hyo kesi ni either dealing,au posession.

Yaani kujihushisha na madawa,
Au kufanya biashara ya madawa.
Au kukutwa na madawa..

Trafficking haina dhamana.
Dealing
Possession zina dhamana.
 
 
Una mbwembwe, kwaiyo marekani walimfunga shkuba na kina Tiko bila kuwa na vidhibiti vyovyote? Halafu kazi ndio nini? Inaonekana nawewe ndio biashara zako bwana mdogo.
Shkuba alikamatwa na kupelekwa marekani sababu alikuwa most wanted by INTERPOL.

alitajwa sana na watu wengi waliokamatwa china, marekani,canada nk.

Na hapa kwetu shkuba alikamatwa sababu alitumiwa SMS ya mwisho na mtuhumiwa shabani ,,nusu saa kabla hajakamatwa.
MAMBO POWA

hii ndy sms iliyomtia hatiani skuba kuunganishwa na kesi ya Lindi.
 
"Hustler kama Ali shkuba natimba kila kiwanja ,eh i'm the magnifico napiga kazi za hatari" - Mwana FA 2008

Kama mwana FA alimpaisha kwenye wimbo wake wa Msiache Kuongea wa Mwaka 2008 means jamaa alianza kuuza BWIMBWI Kitambo.
Huwezi kumuimba Shkuba bila kukushikisha mpunga. Mwana FA na Matonya wote vijana wa Tanga walikuwa punda wake
 
Yeah, mfumo uliamua kumtema, kama siku ukiamua kumtema huyu mchora katuni maarufu hapa nchini!
Cartoonist na chonchi damdam,siku chonchi anakamatwa kuna kijana wa mawinguni alikua ndani kwa chonchi,ile anaondoka tu dk 5 nyuma makanya na kondoa ikawa imepigwa pin na wazee,akutoka mtu hapo
 
Wafungwe kwa kweli hawa ni mapapa wameharibu sana vijana , ila mtaani mapapa bado wapo wengi washughulikiwe tu wengi wanajifichia kwenye kufungua yard za magari
We utashangaa utawakuta kitaa, dawa ya hao ni kuuawa hadharani, kwa hivi wanajonga wanatoka kwa RUFAA.
 
Ww una mzungumzia shkuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…