MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

Huko ndio Huwa tunapotezea muda Waafrika. Haya tumesoma Sana ma mechanics na madude mazito, hayo magari, pikipiki, baiskeli na machine mbalimbali ziko wapi
 

[emoji3]kasome tena .
 
Hapana
It is very obvious kama mtu kapata div one ya 3 kwa akili zake, na huyu kapata div 3 kwa akili zake …..that is obvious gap

Aliyepata one ni ana akili za darasani and bright as compared to div 3
Upo sahihi kwa akili za darasani na inadefine IQ yake lakini ukija katika Performance ya kazi ni TOFAUTI, take it from me

Mimi nimesoma Computer Science nilikataa kusoma Udaktari, lakini ukija kwny field work mara nyingi tunachukua vijana wa Form IV walioenda kufanya Diploma za IT kwny vyuo vya kawaida vya Private na tunawaacha Graduates wa UDSM, UDOM n.k kwasababu hawawezi kazi...ni theoretical oriented

Same pia kwny Field zingine, kuna tatizo flan katika vyuo vyetu
 
MUHAS kwa nchini ni sawa.

Lakin bado kinajitafuta
 
Huko ndio Huwa tunapotezea muda Waafrika. Haya tumesoma Sana ma mechanics na madude mazito, hayo magari, pikipiki, baiskeli na machine mbalimbali ziko wapi

You are right

Umeelewa nilivoandika
Cognitive
Psychomoteur
Na attitude?

You had cognitive but you missed psychomoteur ( Skills )

You were enquiped na cognitive ( knowledge) but skills zero.
Matokeo yake unapata A physical mechanical but ukiletewa hata baiskel you can’t fix
 
Serikali kuruhusu mtu wa medicine diploma aanze akiwa na D wana maana yao na pia hawajakosea.
Licha ya kuruhusu hilo wameweka mtego mingi ili mwanafunzi kufaulu.
Pia licha ya hilo wapo waliofaulu kwa D ila wakaja na perfection na wapo walofaulu kwa A ila wakaja na dullness.
Maana mtihani wa taifa wa CSEE/CAEE haimaanishi pale ndio kikomo cha mtu cha uelewa.
Usipime uelewa kihivyo.
Nina mifano wa C.O waliosoma kwa D ila ni wamoto wamepasua GPA ya 4 na sasa wanamalizia bachelor of medicine.
 
Huku mtaani hawatiki hata kujua ulisoma chuo Gani wanataka matokeo ya ulichosoma haijalishi ni Tiofilo kisanji, mum, st Francis, Muhimbili, Udsm sijui wapi. Cha msingi nachofahamu kinachohitajika ni Training nyingi kwa muhitimu ili awe competent.

Pia Zingatia mazingira ya mwanafunzi aliepata D zote na A zote nikutoka shule gani.

St Francis, Feza au Kaliua secondary au Nzega secondary?.

Naamini mwanafunzi aliepata D tatu Kaliua secondary angetengenezewa mazingira mazuri kama ya mwanafunzi wa Feza mwenye A tupu huenda nae angekua na A tupu.
 
Kwanza utajuaje mtu kasoma chuo gani wote wakiwa kwenye lab coat?

Pili daktari anatumia STANDARD GUIDELINE kupriscribe dawa ndio maana kuna kompyuta mezani.

Tatu magonjwa yaliyopo Tanzania ni Common

Nne madaktari ni misukule wa pharmaceautical companies hamna uwezo wa kugundua dawa mpya zaidi ua tangawizi, asali na vitunguu swaumu

Je kati yako wewe na mganga wa kienyeji nani ana akili kuzidi mwenzake? Pia mkiistaafu mnaishia kugungua duka la dawa mnakufa masikini
 
[emoji3]kasome tena .
Nimesoma tayari ndo maana nikaandika.
Unaweza ukawa na hoja nzuri ili uwasilishaje wake ni mbovu kitu ambacho kinaonyesha hata wewe ni tatizo zaidi.
Kamq hoja ilikuwa ni entry qualifications kwenye course za afya ungesema siyo kuanza kuponda vyuo halafu unasema huko nchi za nje.
Kwa upande wangu nakuona wewe na tatizo kuliko hao unaowasema
 
MiCCM ni miquma sana
 

GPA ya nne chuo gani , Kampala? St John’s ?
Au KCMC inayokuwa na wafanyakazi wenye vyeti fake !?

Any where, kwenye Afya D ni failure

Inatakiwa C iwe minimum criteria

Kwa zaman you are right for D ,

Ufaulu wa sasa ni mkubwa kutokana na technology kuwa kubwa hivyo C ndio standard

D ya zamani was best kipindi ambacho hakuna CHATGPT au AI , inakulazimu ujue Abbot ni kitabu cha nini, solving anatafutwa mtu 1 tu aliyepiga one ya saba

Now days you don’t need that , swali unakopi na kuingiza kwenye AI, unaletewa solution in one sec

Ni uchizi kuchukua D kama pass mark kwenye Afya .

D ziende kwenye socialogy na marketing
 

Acha blah blah Mushi
 
Uliposema tu kuwa gynazol ni dawa nikakuona na wew ni wahitimu wa vyuo vya ghorofa ya nne,

Kuna miconazole Vaginal pessaries,

Unajua maana ya Generic ? na Generic Brand? Innovator na Innovator brand ? au INN?

You are mad
 
Bugando hakuna kitu wanaweza kuwa wanazidiwa hata na IMTU. Hao ni km wale wanaosoma Ukraine
Kuna mama mmoja kasoma masters china alikuwa akishindwa kazi anakimbilia utawala anawaachia wenye degree wapige kazi yaani alikuwa mweupe pee mpaka unajiuliza huyu kasoma china ya buza au

Mwingine alisoma marekani ila akafeli mtihani wa MCT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…