Kuna mama mmoja kasoma masters china alikuwa akishindwa kazi anakimbilia utawala anawaachia wenye degree wapige kazi yaani alikuwa mweupe pee mpaka unajiuliza huyu kasoma china ya buza au
Mwingine alisoma marekani ila akafeli mtihani wa MCT
Wewe ndo uache misifa ya kijinga, watu wa aina yako ni hovyo sana huko makazini kazi yao kuchambua wafanyakazi wengine na vyuo walivyosoma wakati wao ni bure.Acha blah blah Mushi
hivi na vile vyuo ambavyo unaambiwa chuo kipo gorofa ya nne
Bugando hakuna kitu wanaweza kuwa wanazidiwa hata na IMTU. Hao ni km wale wanaosoma Ukraine
Huku mtaani hawatiki hata kujua ulisoma chuo Gani wanataka matokeo ya ulichosoma haijalishi ni Tiofilo kisanji, mum, st Francis, Muhimbili, Udsm sijui wapi. Cha msingi nachofahamu kinachohitajika ni Training nyingi kwa muhitimu ili awe competent.
Pia Zingatia mazingira ya mwanafunzi aliepata D zote na A zote nikutoka shule gani.
St Francis, Feza au Kaliua secondary au Nzega secondary?.
Naamini mwanafunzi aliepata D tatu Kaliua secondary angetengenezewa mazingira mazuri kama ya mwanafunzi wa Feza mwenye A tupu huenda nae angekua na A tupu.
Aisee!GPA ya nne chuo gani , Kampala? St John’s ?
Au KCMC inayokuwa na wafanyakazi wenye vyeti fake !?
Any where, kwenye Afya D ni failure
Inatakiwa C iwe minimum criteria
Kwa zaman you are right for D ,
Ufaulu wa sasa ni mkubwa kutokana na technology kuwa kubwa hivyo C ndio standard
D ya zamani was best kipindi ambacho hakuna CHATGPT au AI , inakulazimu ujue Abbot ni kitabu cha nini, solving anatafutwa mtu 1 tu aliyepiga one ya saba
Now days you don’t need that , swali unakopi na kuingiza kwenye AI, unaletewa solution in one sec
Ni uchizi kuchukua D kama pass mark kwenye Afya .
D ziende kwenye socialogy na marketing
Heart beat, pulse rate na device za kupima bloof pressure, unaikumbuka dopler effect?Hivi nataka kuwa daktari, topic ya projectile ya form six inanisaidia Nini.
Wewe ndo uache misifa ya kijinga, watu wa aina yako ni hovyo sana huko makazini kazi yao kuchambua wafanyakazi wengine na vyuo walivyosoma wakati wao ni bure.
Yaani wewe ni tatizo hata uandishi mada yako unaonesha tu.
Aisee!
Mkuu unapenda kulazimisha nadharia.
Unawazungumziaje wale wanaopata A mtihani wa taifa then chuo wana disco!?
Je,kwa uelewa wako unadhani aliyepata D mtihani wa sekondari ndio uelewa wake umeishia hapo!?
Nijibu hayo maswali mawili maana nakuona siasa nyingi sana.
Kuna Padre pio college,Mlimba college,Kilosa college hivi vyote vyuo vizuri na wahitimu wake hakuna wa cheti feki hata mmoja.
Saw[emoji38]sawa bwana Mushi. Ila jiwe langu nimepiga gizani, not personal
Pole
Basi utakua ushaelewa nachomaanisha.Chuo na advance haziwezi kuwa analogy
Kupata A advance doesn’t mean chuo utafaulu kwa kukimbizana na chupi, shisha na betting
You have to sit down na usome same pace uliyotoka nayo or else you fail
Bahati mbaya au nzuri mimi nimesoma shule za kata zote na nilikua naufulu wa Daraja B Pote nilipopita. Lakini sehemu nilipo nipo nawengi waliosoma st Francis,Feza Kisha wakakimbilia vyuo south Africa na kwingineko huko duniani.Sis watoto wa masikini tulipata A from ilboru, Mzumbe Kibaha, Zanaki, Forodhani, Azania , Kibasila, Benjamini etc Jangwani
Mazingira magumu kwa sababu nyie ni vijana wa shida na betting
The means kwenu justify the end
Ungekutana na products ya intern Nurses na intern DRs kutoka UDOM , ungeiweka UDOM ya kwanza ,they have a lot of exposure in clinical setting and a lot of confidence [emoji123][emoji123][emoji123] UDOM is the best in Tz kwa course za afya
Wewe ndio daktari achana na huyo bado mwanafunzi yupo chuo. Akili ya daktari aliyekazini haiwezi kuwa kama ya huyo bwana mdogo.Uliposema tu kuwa gynazol ni dawa nikakuona na wew ni wahitimu wa vyuo vya ghorofa ya nne,
Kuna miconazole Vaginal pessaries,
Bahati mbaya au nzuri mimi nimesoma shule za kata zote na nilikua naufulu wa Daraja B Pote nilipopita. Lakini sehemu nilipo nipo nawengi waliosoma st Francis,Feza Kisha wakakimbilia vyuo south Africa na kwingineko huko duniani.
Kipindi Cha nyuma shule hizo ulizozitaj ndio zilikua deal maana za private zilikua chache na walioenda wengi niwaliofeli kupenye Serikalini. Lakini Kwa Sasa mazingira nitofauti anaesoma Kibaha,Kaliua secondary ukiwakusanya wanazidiana kumeza madesa tu.
Wewe ndio daktari achana na huyo bado mwanafunzi yupo chuo. Akili ya daktari aliyekazini haiwezi kuwa kama ya huyo bwana mdogo.
Japokuwa mimi hua nna mizimu ya babu yangu dokita nahisi akili yake ipo kwenye ubongo wangu
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses ….based on the experience, students from MUHAS and CUHAS were the best doctors , pharmacist and nurses .
Wanafunzi kutoka vyuo tofauti na hivyo, ni majanga makubwa unajiuliza wewe unaendaje kutibu watu au unaendaje ku deal na dawa za binadamu?
Una mwambia prospective doctor achukue pathologic history, unabaki unashika kichwa, you meet a pharmacist anamwambia mgonjwa umeze Gynozol mbili mara tatu , shame ! ( gynozol is a medication need to be inserted through vagina).
Ukiuliza umesoma wapi utaambiwa ……..,,,vyuo fulan Fulani hivi na vile vyuo ambavyo unaambiwa chuo kipo gorofa ya nne
Ni kawaida siku hizi student with Flat D akawa enrolled kwenye medical field , it is a shame CCM inaenda kuharibu hadi mfumo wa elimu ya Afya,
tuna madaktari very low intelligence can’t even reason , we have pharmacist and nurses who cannot even notice medication errors zinazokuwa committed by doctors .
Ikiwa mtu mwenye D anaenda kusoma kozi za Afya , we need to go back kwenye drawing table or else let’s all perish.
Kwa ufaulu wa sasa, kama hauna C and above ilitakiwa usiruhusiwe kusoma course za Afya level ya Diploma , watanzania wanaangamia, ever wondered why now days magonjwa ya matajiri wanaumwa masikini.
Kwa mfano hii nchi ninayoishi, the best students let’s say A plus wanaenda kusoma Veterinary na Pharmacy, then best students with A wanaenda kusoma medicine , nurses and injinia.
How come tunaruhusu D Iende kusoma medical field , hivi CCM kwanini tunapenda ku play na mambo muhimu; last time tuliona ufaulu wa madokta was catastrophic , this time tunaona ufaulu wa pharmacist ni worse, ukipitia hiyo link ya mwananchi utaona matokeo yao , a student from certain universities in TZ Kutoa MUHAS na CUHAS utaona mtu amerudi mara 6 the same exams [emoji2099], such student baadae ataenda Hosp kumshauri mgonjwa…… where are we going CCM ?
MUHAS and CUHAS are the only conservatives universities, kusoma medicine nurses au Pharmacy .
MUHAS kama huna A za kutosha kwenye qualification entry zako, my friend sahau bachelor of medicine wala famasi.
Sasa Wakikosa MUHAS au CUHAS , pakukimbilia ni hivyo vyuo vinavoleta watu wanaenda kuwaaambia wagonjwa meza gynozol au anaenda kuandika pathologie kuwa a family has a history of falling down the trees ! Shame shame shame , problem !
Qualification entry za Course za Afya lazima ziangaliweUPYA , kwa level ya diploma you must have C or above in all subjects and for bachelor tuige mfano wa MUHAS na CUHAS .
Ni Umasikini tu wa black skin , I wished kwa Tanzania vyuo vyote vinavyohusu Afya viwe ni vya Serikali, ikitokea vya private , basi viwe BEST ya vyuo vya serikali lakini pia qualification entry ziwe standardized kwa Course za Afya .
Minimum criteria ziwe ni C for diploma , na minimum criteria for bachelor iwe ni A na B tu na kusiwe na C kwenye physic’s , math , bio, chemistry otherwise, tunatengeneza bomu and in few years tujiandae the consequences
health education system must be preserved at any COST
Professional bodies , mshike hapo hapo, msipitishe Uharo kwa expenses ya watanzania wasiojua chochote masikini.
Hongereni wafamasia, na sisi Madokta tuige mfano kupiga scrutiny za kutosha,kama lichuo linachukua F au D For the sake of money , piga PIN kwenye professional exams tu.
TAFAKARI MTANZANIA ! Dah umeongea sana jamaa yang, umefanya vizur kuelimisha lakin pia hata hizo A na C za sekondari unapaswa kuziangalia kwa jicho la umakini sana.
UDOM ndo chuo pekee kinachopeleka wanafunzi wake clinical area kwa mwaka mzima , DRs na Nurses, that is why they have a lot of exposure, hivyo experience wanapata za kutoshaMmmh no comment