Guyton JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 264 Reaction score 82 Mar 13, 2012 #1 Ni wiki ya pili sasa tangu chuo cha muhimbili kifungue lakini wanafunzi bado hawajapewa fedha zao za kujikimu.
Ni wiki ya pili sasa tangu chuo cha muhimbili kifungue lakini wanafunzi bado hawajapewa fedha zao za kujikimu.
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,047 Mar 13, 2012 #2 Msijisumbue kwani CCM wanatumia Boom la wanafunzi kupigia kampeni Arumeru.
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,047 Mar 13, 2012 #3 Msijisumbue kwani CCM wanatumia Boom la wanafunzi kupigia kampeni Arumeru so subirini washinde kwanza na kama hawatashinda sijui itakuwaje.
Msijisumbue kwani CCM wanatumia Boom la wanafunzi kupigia kampeni Arumeru so subirini washinde kwanza na kama hawatashinda sijui itakuwaje.