Muhas wiki ya pili bila boom.

Muhas wiki ya pili bila boom.

Guyton

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
264
Reaction score
82
Ni wiki ya pili sasa tangu chuo cha muhimbili kifungue lakini wanafunzi bado hawajapewa fedha zao za kujikimu.
 
Msijisumbue kwani CCM wanatumia Boom la wanafunzi kupigia kampeni Arumeru.
 
Msijisumbue kwani CCM wanatumia Boom la wanafunzi kupigia kampeni Arumeru so subirini washinde kwanza na kama hawatashinda sijui itakuwaje.
 
Back
Top Bottom