Chilipamwao
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 523
- 128
Sugu jimbo lake ni la wasanii akina Afande Sele, Mkoloni na wavaa heleni wengine. Jimbo la Mbeya limo likizo ya miaka 5 mpaka uchaguzi Wa 2015. Hili watu wa Mbeya wanalijua kwa vile waliamua wenyewe kutokuwa na mbunge
Zianzishwe radio station za makabila mbalimbali. Sisi wakinga tuwe na radio inayorusha matangazo kikinga, wahaya Kwa kihaya n.k. Kwa hiyo Tz kuwe stn zaidi 200. Angalia michuzi blog tar 5..nimesoma maoni ya watu tu. Sikuweza sikiliza alichosema from my mobileMbona hatuambiw alichosema?
Sugu jimbo lake ni la wasanii akina Afande Sele, Mkoloni na wavaa heleni wengine. Jimbo la Mbeya limo likizo ya miaka 5 mpaka uchaguzi Wa 2015. Hili watu wa Mbeya wanalijua kwa vile waliamua wenyewe kutokuwa na mbunge
Nafikiri ubongo wako una matatizo fulani