Muheshimiwa Sugu anashusha vina ndani Bunge

Muheshimiwa Sugu anashusha vina ndani Bunge

Wewe huna akili, wewe una jimbo gani, acha wendawazimu wako. Kama waliamua kuwa likizo wewe inakuhusu nini? umejaa wivu tu. tunajua wewe ni CCM na naona una mahusiano na aliyekuwa mbunge wa CCM kipindi kilichopita
Sugu jimbo lake ni la wasanii akina Afande Sele, Mkoloni na wavaa heleni wengine. Jimbo la Mbeya limo likizo ya miaka 5 mpaka uchaguzi Wa 2015. Hili watu wa Mbeya wanalijua kwa vile waliamua wenyewe kutokuwa na mbunge
 
Mbona hatuambiw alichosema?
Zianzishwe radio station za makabila mbalimbali. Sisi wakinga tuwe na radio inayorusha matangazo kikinga, wahaya Kwa kihaya n.k. Kwa hiyo Tz kuwe stn zaidi 200. Angalia michuzi blog tar 5..nimesoma maoni ya watu tu. Sikuweza sikiliza alichosema from my mobile
 
Sugu jimbo lake ni la wasanii akina Afande Sele, Mkoloni na wavaa heleni wengine. Jimbo la Mbeya limo likizo ya miaka 5 mpaka uchaguzi Wa 2015. Hili watu wa Mbeya wanalijua kwa vile waliamua wenyewe kutokuwa na mbunge

Nafikiri ubongo wako una matatizo fulani
 
Nafikiri ubongo wako una matatizo fulani

Domo Zege ulisema ubongo wangu una matatizo, lakini jana Sugu amekaririwa bungeni akitaka studio ya kurekodia muziki kutoka kwa Waziri wa habari. Je wana Mbeya ndiyo wamemtuma hili? Ndiyo maana nasema jimbo la Mbeya liko wazi hadi 2015
 
Back
Top Bottom