Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Kabisa mkuuTatizo sikuizi hata hao wanaokuletea mshumaa wanataka something in return,. Hapo ndio shida huanza ππ
Hata asante ni return nzuri sanasomething in return,.
Zingatia zaidi uzito wa msaada uliopewaTatizo sikuizi hata hao wanaokuletea mshumaa wanataka something in return,. Hapo ndio shida huanza ππ
Ingekua hivyo ingependeza sana mkuu,. Nowadays mtu anakusaidia with conditions mpaka mwenyewe unaamua tu bora nipambane hivihivi bila mkono wa mtu,.Hata asante ni return nzuri sana
β€οΈUmenena kweli mkuu
Ni kweli hao watu wapo , lakini itapendeza pia ukiwagusia wasiowakumbuka waliowasaidiaIngekua hivyo ingependeza sana mkuu,. Nowadays mtu anakusaidia with conditions mpaka mwenyewe unaamua tu bora nipambane hivihivi bila mkono wa mtu,.
Ila All in all watu wema bado wapo na wanaish
In summation tuseme watu hawana kumbukumbuTenda wema nenda zako
Tendewa wema nenda zako
Kwakweli,. Lakini kuna mambo mengine mpaka unawaza unasema kweli watu hawana utu.Zingatia zaidi uzito wa msaada uliopewa
Ni kweli , wengi wetu tunasaidia pale tunapodhani tutapata na sisi chochote, hii ni wengi wetu! Mybe hata wewe na mimi pia.Ingekua hivyo ingependeza sana mkuu,. Nowadays mtu anakusaidia with conditions mpaka mwenyewe unaamua tu bora nipambane hivihivi bila mkono wa mtu,.
Ila All in all watu wema bado wapo na wanaish
Inshort kuna watu wamezaliwa hawana shukrani,. Kusaidiwa wanaona ni haki yaoNi kweli hao watu wapo , lakini itapendeza pia ukiwagusia wasiowakumbuka waliowasaidia
Huyo hakuwa anatoa msaada alikuwa anatoa mkataba wa kibiasharaKwakweli,. Lakini kuna mambo mengine mpaka unawaza unasema kweli watu hawana utu.
Imagine kuna mtu fulani ni mstaafu kabisa alikua anataka amconnect dogo mahali ili afanye kazi,. Akamwambia waandikishane kwamba akimuunganisha eti 30% ya mshahara wake anatakiwa kumpa yeye within 3yrs,. Na hapo alihitaji apewe 2m kwanza ili ahonge wahusika
You can see watu sikuizi walivyoweka vitu mbele badala ya Utu
Kazi sana kama ambavyo wengine wakisaidiwa hawawakumbuki waliowasaidiaWengine ukiwa gizani wanakuletea mshumaa sio kwa ajili ya kukisaidia ila kukumulika ili wakucheke, ubinadamu ni kazi
SeriousHuyo hakuwa anatoa msaada alikuwa anatoa mkataba wa kibiashara
Nimecheka ππWengine ukiwa gizani wanakuletea mshumaa sio kwa ajili ya kukisaidia ila kukumulika ili wakucheke, ubinadamu ni kazi
πNimecheka ππ