dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Ukiweka na mgawanyiko wa rohoni mwa Adadi na wafuasi wake, kitawakaDah, hili jimbo lishakuwa gumu kwa FA
Huyo muuza sura wa Bongo fleva hajui hata hilo jimbo lina kata ngapi, yeye kaingia kwa ladies free kama nape na January.Haya haya haya Mwana FA usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.
Kazi unayo mwanaccm uliyetaka kubebwa
Hii ndiyo kitu tunataka ngoma uwanjani kipute kipigwe dakika 90 au 120 au mikwaju ya penalti, siyo haya mambo ya viti maalum vya kupita mezani bila kupingwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo dada ni hatari,anajiamini na anajua kujenga hoja' Mwana FA kazi anayo.
Haya haya haya mwana fa usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.
Kazi unayo mwanaccm uliyetaka kubebwa
Subiri jambo yatakapokuwa mambo ndo utajua.Hana uwezo wa kuishinda CCM uko...uko ACT, Chadema na CUF watagawana kura
Hana uwezo wa kuishinda CCM uko...uko ACT ,chadema na CUF watagawana kura
Nawe umeanza kutetemeka kama FA.Hana uwezo wa kuishinda CCM uko...uko ACT ,chadema na CUF watagawana kura