Uchaguzi 2020 Muheza: Mgombea Ubunge wa CHADEMA arejeshwa na Tume ya Uchaguzi baada ya kuenguliwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo

Uchaguzi 2020 Muheza: Mgombea Ubunge wa CHADEMA arejeshwa na Tume ya Uchaguzi baada ya kuenguliwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo

Huyu Dada utazani chadema wanafanya scouting ya kutafuta wachezaji, Dada nimeona clip yake moja inatosha kumjua ni mtu wa aina gani, FA anaweza kuwa mmoja wa wagombea waliopitishwa na Ccm kisha kuja kuangushwa na upinzani by the way kazi anayo.
 
Kamanda Komba simamia haya:

1. Shida ya maji katika mji wa Muheza na vijijini, kwa zaidi ya miaka 30 CCM imeshindwa kuitatua.

2. Huduma za Afya hospitali ya Teule inachechemea, na hospitali ya Wilaya imeenda kujengwa mbali na mji.

3. Vijiji vingi vina tatizo kubwa la barabara, ukiacha kipande kidogo cha barabara ya Amani.

4. Ufaulu mbovu katika shule za msingi na sekondari.

Na mengineyo.
 
Ushindi ni mikakati siyo jukwaani tu, hataweza mikakati ya ccm, atapendezesha jukwaa lakini kura xitaenda kwa mwana FA kwa sababu amezungukwa na timu ya ushindi
 
Kamanda Komba simamia haya:
1. Shida ya maji katika mji wa Muheza na vijijini, kwa zaidi ya miaka 30 CCM imeshindwa kuitatua
2. Huduma za Afya hospitali ya Teule inachechemea, na hospitali ya Wilaya imeenda kujengwa mbali na mji
3. Vijiji vingi vina tatizo kubwa la barabara, ukiacha kipande kidogo cha barabara ya Amani
4. Ufaulu mbovu katika shule za msingi na sekondari.

Na mengineyo.
Nakazia hapa
 
Haya haya haya mwana fa usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.

Kazi unayo mwanaccm uliyetaka kubebwa
Mapema asubuhi jimbo hiloo[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536]...japo najua fika jirani [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]hapendiii
 
Back
Top Bottom