Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warudishwe wote haraka na tume ina mengi ya kujibu.Haya haya haya mwana fa usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.
Kazi unayo mwanaccm uliyetaka kubebwa
Kura yangu ANAYO SAA 3 ASUBUHI
Mwana FA ni gwiji unataka kuniambia nae alihitaji ladies free?Haya haya haya mwana fa usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.
Kazi unayo mwanaccm uliyetaka kubebwa
Nakazia hapaKamanda Komba simamia haya:
1. Shida ya maji katika mji wa Muheza na vijijini, kwa zaidi ya miaka 30 CCM imeshindwa kuitatua
2. Huduma za Afya hospitali ya Teule inachechemea, na hospitali ya Wilaya imeenda kujengwa mbali na mji
3. Vijiji vingi vina tatizo kubwa la barabara, ukiacha kipande kidogo cha barabara ya Amani
4. Ufaulu mbovu katika shule za msingi na sekondari.
Na mengineyo.
Mwana Fa Kwa nini asiende kugombea kwao Kigoma?Dah, hili jimbo lishakuwa gumu kwa FA
😂😂😂 Ety kwao kigomaMwana Fa Kwa nini asiende kugombea kwao Kigoma?
Mapema asubuhi jimbo hiloo[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536]...japo najua fika jirani [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]hapendiiiHaya haya haya mwana fa usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.
Kazi unayo mwanaccm uliyetaka kubebwa