Muhidin Issa Michuzi atokelezea

Huyo wa kushoto ni "mke wake"
 
Duh wamependeza....ngoja nitupie ya kwangu na wife na watoto.
 
mzee kalenga, japo naona mmoja kampunja mwenzake
 
Mbona mavazi hayaendani na ufukwe wenyewe!!
 
Huyu jamaa gonyagonya kweli,kumbe kaoa tena?,...kwa hiyo jumla sasa ana watoto wangapi? teh teh teh teh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…