Muhidin Issa Michuzi atokelezea

Muhidin Issa Michuzi atokelezea

by Carton barlet;
nyinyi vijana hamna hela, punguza porojo tafuta pesa ule mema ya nchi. michuzi na mengi nani mzee?


Carton barlet, Michuzi ni mzee saana wewe kwa Mengi, Mengi ni 30's wakati michuzi ni 50's

Mwenye pesa hazeeeki!
 
Last edited by a moderator:
Umenena ukweli
by carton barlet;
nyinyi vijana hamna hela, punguza porojo tafuta pesa ule mema ya nchi. Michuzi na mengi nani mzee?


carton barlet, michuzi ni mzee saana wewe kwa mengi, mengi ni 30's wakati michuzi ni 50's

mwenye pesa hazeeeki!
 
Mtoto mashallah sana, rangi, shingo, wajihi, lahaulaaaaaaa. Jama anasafiri lini huyu
 
Back
Top Bottom