theki
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,721
- 585
Wewe mtoto wakiume hazeeki.tatizo hujalijua, wameachana sana kiumri, kwa tunaomjua angweza hata kuwa binti yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtoto wakiume hazeeki.tatizo hujalijua, wameachana sana kiumri, kwa tunaomjua angweza hata kuwa binti yake
nyinyi vijana hamna hela, punguza porojo tafuta pesa ule mema ya nchi. michuzi na mengi nani mzee?
Wewe mtoto wakiume hazeeki.
Huyu jamaa ni bonge la ngifi
nimejaribu kugeuza geuza maneno wala sijapata maana
atakua wa nne huyu...wa ikulu
Huyu jamaa ni bonge la ngifi
Daaah mtoto wa kiume kafanana na mama yke..... huyu dada sura si ngeni kwangu,cjui ni wapi nmemuona.