muhimbili kitengo cha meno wanazingua, be carefull

muhimbili kitengo cha meno wanazingua, be carefull

christhekatt

Member
Joined
May 13, 2013
Posts
40
Reaction score
30
kama una tatizo la meno ukienda muhimbili kitengo cha meno, kuwa makini sana sababu wanaleta madent( intern) kuwafanya practical kwenye vinywa vya watu. Kwahiyo kuweni makini ukiona anatumia muda mrefu sana kung'oa jino, mwite nurse amuite aje specialist kukucheki...! Watakuumiza vibaya hawa madenti..
 
sasa mkuu unataka wajifunzie wapi kama sio kwenye meno yenu
 
kama una tatizo la meno ukienda muhimbili kitengo cha meno, kuwa makini sana sababu wanaleta madent( intern) kuwafanya practical kwenye vinywa vya watu. Kwahiyo kuweni makini ukiona anatumia muda mrefu sana kung'oa jino, mwite nurse amuite aje specialist kukucheki...! Watakuumiza vibaya hawa madenti..

Uliambiwa lini Intern ni mwanafunzi? Kila hospitali DUNIANI ina utaratibu..Kabla ya ku_post kitu fanya utafiti.
 
we unafikiri nimekurupuka tu?? I have been there and done that!! Iam talking from my own experience

Ninaweza kufikiri umekurupuka kwa sababu;

1. Intern si mwanafunzi, ni mhitimu tayari..na ukichukulia hivyo sijui Residents, au Specialist wanaosomea superspeciaiization nao ni wanafunzi au la!
2. Utaratibu wa Interns kuona wagonjwa kwanza MNH haujaanza leo.
3. Utaratibu huo upo KILA hospitali za mkoa na kuendelea katika Nchi ya Tanzania hii...na kila teaching hospital DUNIANI.
4. Kama nia ni kuonana na Daktari bingwa (Specialist) moja kwa moja, na unaweza kufanya hivyo kwa kulipia huduma ya matibabu binafsi (Private) "IPPM" na kulingana na kipato chako hujazuiwa kufanya hivyo.
5 . Utaratibu, hauko kirahisi namna hiyo "mgonjwa kumwambia muuguzi amuite daktari bingwa" naye aje tu kufuata matakwa ya mgonjwa!
6. Ni kutokuwa na ufahamu kudhani/kufikiri kila tiba ya kinywa kwa kung'oa jino ikitumia muda mrefu, ni daktari kutokuwa na uwezo wa kulitoa!
7. Huwezi kuumizwa wakati wa kutolewa jino kwa kuwa mtu hupewa dawa ya maumivu/pamoja na ganzi
 
Pole, ila kwa taharifa yako hata huyo specialist anaweza fanya msaada kwako ambao bado ukaona ni maumivu, cha msingi ni kuwa cooperative, kwa kile unachohudumiwa ,, mimi au sisi kama dentistry , hatupendi kuumiza mgonjwa kwa sabb haiturahisishii kufanya kazi na ndio maana unaongezwa ganzi, lakini ganzi unayoongezwa pia ina madhara ambayo wengi wetu huwa hatujui @ dry socket ( ukavu wa pengo unasabishwa na wingi wa ganzi ambayo hubana mishipa ya damu / fahamu kwa muda .
Then kuna utaalamu wa mifumo ambao unaitwa PAIN. THRESHOD! Hii ni namna mgonjwa anavyoweza kuvumilia maumivu , lkn kwa hili basi mwingine anachomwa 3mls lignocane , na mwingine 5mls lignocane kwa procedure hiyo hiyo lkn bado aliechomwa 5mls atacomplain maumivu tofauti na aliechomwa 3mls . Cha msingi hapa ni kuwa na gud communication kati ya mtibiwa na mtabibu, na hii utaipata kwa specialist , au intern doctor .
 
we unafikiri nimekurupuka tu?? I have been there and done that!! Iam talking from my own experience

umekurupuka even from well experienced dentists occurance zinatokea

afu intern ni graduates na sio wanafunzi,
they are just working under supervision
 
Back
Top Bottom