Pole, ila kwa taharifa yako hata huyo specialist anaweza fanya msaada kwako ambao bado ukaona ni maumivu, cha msingi ni kuwa cooperative, kwa kile unachohudumiwa ,, mimi au sisi kama dentistry , hatupendi kuumiza mgonjwa kwa sabb haiturahisishii kufanya kazi na ndio maana unaongezwa ganzi, lakini ganzi unayoongezwa pia ina madhara ambayo wengi wetu huwa hatujui @ dry socket ( ukavu wa pengo unasabishwa na wingi wa ganzi ambayo hubana mishipa ya damu / fahamu kwa muda .
Then kuna utaalamu wa mifumo ambao unaitwa PAIN. THRESHOD! Hii ni namna mgonjwa anavyoweza kuvumilia maumivu , lkn kwa hili basi mwingine anachomwa 3mls lignocane , na mwingine 5mls lignocane kwa procedure hiyo hiyo lkn bado aliechomwa 5mls atacomplain maumivu tofauti na aliechomwa 3mls . Cha msingi hapa ni kuwa na gud communication kati ya mtibiwa na mtabibu, na hii utaipata kwa specialist , au intern doctor .