Ni kweli ya 1610 lakini Tz Ni ya 1. Jamani ulitaka chuo ulichosoma wewe ndiyo kiwe cha kwanza? Tuambiwe wewe umesoma wapi ili tujue chuo chako ni cha ngapi duniani.Dar shule ya elfu na inapewa hongea? Ama kweli Tz na watanzania tuna vituko.
hongera zao ila machifu wanaendelea kufa bila kurithisha vitengo kwa vijana!
Kucheka na kulia zote ni kelele. Katika hili nashindwa kucheka nashindwa kulia.
In africa muhimbili ni ya 41 katika academic performance soma hapa URAP - University Ranking by Academic Performance
Hizi ni Rankings za mwaka 2012, It is based on academic performance.
Tembelea: URAP - University Ranking by Academic Performance
Country Ranking: Tanzania World Rank
1. Muhimbili University of Health and Allied Sciences 1610
2. University of Dar Es Salaam 1618
3. Sokoine University of Agriculture 1749
Hongera sana Muhimbili! Hongereni wanafunzi wa Muhimbili!
hongera zao ila machifu wanaendelea kufa bila kurithisha vitengo kwa vijana!
Ila mbona kama UDSM wanaonewa ,wamefanya research za kutosha kuhusu kukubalika kwa Jk na chama chake cha CCM