Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huyu ni nani tena mkuu?Said Nassor Bagaile
Kigwangalla ni daktari wa kucha!Mi nadhani wataalam wa muhimbili wapo sahihi, na naanza kupata shida na udakitari wa mtoa hoja,
huenda kuna utafiti mpya unaoonesha kupiga nyungu hakusaidii kuondo corona lakini je,ni kweli kujifukiza kunasaidia kuondoa corona peke yake? Vipi mahoteli yenye sehemu za kujifukiza kwa majina ya "sauna bath"? na watu wanalipia kwa huduma hiyo.
mtambo huo umejengwa kwa gharama kama kazi yake ya kwanza imeisha uendelee kutumiwa kwa matumizi mengine.
Vinginevyo mheshimiwa mbunge bado ana hasira ya kupokonywa tonge la uwaziri ni hiyo sababu yake haina tija kwetu watanzania.
duuh!Haifai huyu jamaa kigeu geu,
ANA TAFUTA CHAKA ULAYAView attachment 1743166
Hapo naweza kuelewaKigwangalla ni daktari wa kucha!
Mwanga ni wewe, jitathimini uelewa wako wa Tiba Asili, maana huna tofauti na Kigwa!Tiba zinaongozwa na wanga mpaka hospital ya Taifa.
Kabisaa aisee umejuaje! Hahaha!Said Nassor Bagaile ni Mnafiki wa kiwango cha SGR na "Stegolaz".
Mbona unakaza mbavu mkuu vipi uko kitengo cha nyungu nn mbona povuuuMwanga ni wewe, jitathimini uelewa wako wa Tiba Asili, maana huna tofauti na Kigwa!
Nyungu tunayo huku Nzega Vijijini na sie wapiga nyungu ndio tuliomsaidia Said Nassor Bagaile a. K. a Hamis Andrea Kigwangala kupata ubunge, sasa anatusaliti, lazima ajambe cheche!Mbona unakaza mbavu mkuu vipi uko kitengo cha nyungu nn mbona povuuu
Tupewe connection japo ya matangazo basiKuna taarifa inayosambaa mitandaoni na inayodaiwa ni kutoka Hospital ya Muhimbili wakimjibu na kumpinga Kigwangala kuhusu wazo lake la kutaka mashine ya kupiga nyungu iondolewe.
My take:
Kama hio imekuwa ni biashara nzuri, basi tutarajie mengi.
Haifai huyu jamaa kigeu geu,
ANA TAFUTA CHAKA ULAYAView attachment 1743166
Huyu ni nani tena mkuu?
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2839][emoji2839][emoji2839][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Daudi Albert Bashite - Paul Christian Makonda.
Said Nassor Bagaile - Hamis Kigwangallah
Lameck Madelu - Mwigulu Nchemba
Erick Ngambeki - Herry James