Muhimbili wamgomea Kigwangala

Muhimbili wamgomea Kigwangala

Msiba unanihusu Nini Mimi raia, na nimegoma kuingia baadhi ya mitandao watajiju
ukinunua bando tu umechangia rambirambi. wanacollect pesa walizotumia kipindi cha msiba huko
 
Ila hilo banda linaaibisha ile hospitali. Mimi binafsi napendekeza livunjwe na huo upuuzi usijirudie tena.

Jiwe aliingia humo bandani kilichoendelea kesho yake amebaki nacho mwenyewe. Nchi ilikuwa inaelekea kuwa ya waganga na wachawi.
 
Pamoja na kwamba huyu Hamis sijawahi kumkubali ila majibu haya ya Muhimbili hayaridhishi.

Wanataka kutuambia kuwa zile mashine zipo pale kama sehemu ya utafiti? Je taratibu za kufanya tafiti zimefuatwa, ikiwemo kuwajulisha watumiaji kuwa ule ni utafiti? Je watumiaji wameonywa kuwa inawezekana utafiti ule unaweza kuwa na MATOKEO HASI kwenye afya zao?

Approach ya Serikali imefanya dawa za asili zionekane kama uchawi au uganga wa kienyeji. Tuki adopt taratibu sahihi, tunaweza kuziinua hizi dawa zetu kama ambavyo ni matamanio yetu wote.
Kwanini hamis azingezungumza wakati wa utawala wa john

Ova
 
Hata hizo chanjo wanazoleta zipo kwenye utafiti, hazijawahi kutumika kabla..

Sent from my Android using JamiiForums mobile app

Utafiti wa awali ulifanywa wa hizi chanjo lakini kutokana na mahitaji ya haraka kutokana na janga hili, wameziharakisha.

Je sisi tunaweza kusema kwa kujiamni kabisa kwamba pamoja na kwamba tumekuwa na tiba hizi kwa miaka mingi, tuliwahi kufanya utafiti wa nyungu, tukapima ufanisi wake na athari zake na pia tuka DOCUMENT matokeo hayo?
 
someone atupe summary ya majibu ya muhimbili
 
Utafiti wa awali ulifanywa wa hizi chanjo lakini kutokana na mahitaji ya haraka kutokana na janga hili, wameziharakisha.

Je sisi tunaweza kusema kwa kujiamni kabisa kwamba pamoja na kwamba tumekuwa na tiba hizi kwa miaka mingi, tuliwahi kufanya utafiti wa nyungu, tukapima ufanisi wake na athari zake na pia tuka DOCUMENT matokeo hayo?
Ahsante umejijibu vizuri.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Bora mchwi kuliko mnafiki! HK ni mnafiki mkubwa. HK ni Yuda Iskariote wa kizazi cha leo
960AFC97-2C5C-43CD-B90B-D3FD12E22C50.jpeg
DE50A4BB-A047-4244-9B01-5F548B4DE632.jpeg
 
Back
Top Bottom