AnastahiliHospitali ya Taifa Muhimbili imemtunuku tuzo ya heshima ya udaktari bingwa bobezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa katika mageuzi ya huduma za Afya Nchini.
View attachment 3564665
Tuzo hiyo imetolewa kwenye hafla iliyowakutanisha Madaktari na wauguzi Bingwa bobezi Machi 28, 2026 kwenye Hoteli ya Johari Rotana jijni Dar es salaam
Ni kweli anastahili kwa kazi kubwa aliyoifanya na anayoendelea kuifanya Mh Rais,. Hilo lipo wazi.Anastahili
Tz ni channel ya comedy Ulaya πMbona wacheka
Ova