Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
Wakuu hii ya waziri kumpa mama mkwe wake tuzo kwa uprofesa mbona imekaa kizamani sana.
Kwani hii familia haiwezi kula kodi zetu tu kimya kimya mpaka iwe inatupigia kelele, kwahiyo sahivi ataitwa professor samuya au itakuwaje!?