Non medical personnel (mtu ambaye si mtoa huduma ya afya) hawezi kuwa daktari bingwa mbobezi [super specialist doctor] ili uwe daktari bingwa mbobezi lazima uwe na elimu ya udaktari yakufikia ngazi ya specialized doctor like surgeon, cardiologist, neurologist na awe amefanya kitu cha kipekee katika udaktari wake
Msizalilishe muhimbili nitaasisi kubwa kwa kutoa elimu za afya na matibabu nchini.