Muhimu: Aina 5 Za Simu Zinazopendwa na Vijana hasa Wanachuo Tanzania

Muhimu: Aina 5 Za Simu Zinazopendwa na Vijana hasa Wanachuo Tanzania

#mwanakidigitali najua pengine kuna muda unakuwa unapesa yako lakini unapatwa na kigugumizi sana hasa unapo fikiria simu gani unataka kununua na itakayo kufaa . Leo nitakutajia listi ya simu aina 5 ambazo vijana wengi wa Tanzania hupenda zaidi kutumia hasa kwa wanachuo wengi kwa sababu tofauti .

Kabla sijakutajia sababu , Je … kwanini nasema simu hizi zinapendwa na vijana wengi je nimejuaje ?.

Kama ni mara yako ya kwanza unasoma makala zangu mimi naitwa BARAKA JOHN wengi japo maarufu kwa jina la MKISI .
Nimekuwa kwenye soko la Kariakoo takribani miaka 5 sasa nimekuwa nikiuza simu na Laptop original tu mpya na Used za Kutoka Marekani .

Unaweza kunifuatilia zaidi kupitia page zetu Instagram, Facebook na Tiktok kama SIMUKIDIGITALI au nipigie / WhatsApp 0757468193.
Kutokana na uzoefu huo nimekuwa nikifanya research ndogo ndogo na kujua hizi ndio aina 5 ya simu zinazopendwa sana na vijana na hii ni kutokana na ubora wa Camera zake , Materials yake lakini kubwa zaidi zikiwa na Bajeti ndogo wanayoweza kuimudu.

Hizi hapa list ya simu 5 zinazopendwa zaidi na Vijana hasa wanavyuo nchini Tanzania.​
  1. IPHONE 11​
Hii ndio simu iliyoshika namba 1 kwa kuuzika kwa vijana wengi Tanzania , Simu inapendwa zaidi na wanawake ambao wanapenda kumiliki Iphones …. hii inatokana na uwezo wake bora wa Camera pia bajeti yake sio kubwa sana .
Kwa used za Dubai huuzwa kati ya Tsh. 580,000-650,000 kwa simu Clean Original, ila kwetu SIMUKIDIGITALI ,utaipata kwa Tsh.580,000 tu.

2. GOOGLE PIXEL 6 a Na GOOGLE PIXEL 6

Hizi ndio series za pixel zinazo ongoza kuuzika zaidi kwa maelfu ya vijana nchini Tanzania . Hii ni kwa sababu wengi hupenda simu za kitofauti na zenye muonekano bomba .

Uwezo wa battery wa series hizi ni mkubwa pia zinapiga picha nzuri mno na ukizingatia bei yake sio ghari sana . Kwetu SIMUKIDIGITALI Pixel 6a utajipatia kwa Tsh. 485,000 tu na Pixel 6 Tsh. 520,000 tu kumbuka tunauza Original tu.

3. SAMSUNG S21

Aina hizi ya simu hupendwa na vijana wengi ni kwa sababu ya umbo lake kuwa ni dogo kwa Wastani hivi huku ikija na uwezo mkubwa wa Camera , battery na pia muonekano wa kipekee mno .
Bajeti yake kwa Simu original kutoka USA ni tsh. 550,000 tu hapa SIMUKIDIGITALI utajipatia.

4. AQOUS R6 & SENSE 3+

Moja kati ya kampuni ya simu iliyo kuja kufanya mageuzi makubwa kwenye soko la Simu nchini Tanzania kwa sasa basi ni hii kampuni kutoka Japan.
Hii ni kutokana na ubora wa simu zake kwa kudumu muda mrefu , Bei rafiki pia zote zikiwa haziwezi kupitia Vunbi (Dust Resistant ) na Waterproof yaani (Haiingizi maji) unaweza kuogelea nayo bila shida .


Aqous R6 ina Edged scree ikija na kioo cha Hd chenye Quality nzuri , Refreshrate ya hali ya juu battery linalodumu , muonekano wa kipekee pia Kamera kali sana. Bei yake ni Tsh. 380,000 tu hapa SIMUKIDIGITALI .

Aqous Sense 3 + inaquality ya hali ya juu pia ikiwa na kioo kipana , battery linalodumu siku nzima pia ni waterproof utajipatia hapa SIMUKIDIGITALI kwa Tsh. 265,000 tu.

5. SAMSUNG A16
Hii ndio simu iliyo uzika kwa vijana wengi snaa nchini Tanzania , ni kwa sababu ya ubora wake wa material iliyo tengenezewa pia simu hii inasifika zaidi kwa kukaa na chaji hadi siku 2-3.

Kwa simu mpya original verified kutoka Samsung inakuja na warranty ya miaka 2 kama ukinunua kwetu tutakuuzia kwa Tsh.450,000 tu Gb 128.

Yapo machaguo mengine ya A seriesyanayofanya vixuri kama A05 , A06 , A42 ,A52 pia A85.

Bonus 👇

Mwanakidigitali sikuachi hivi hivi na hii ndio simu ya Bonus inayopendwa na vijana wengi

6. SAMSUNG S10e
Simu hii inapendwa kwa sababu ipo simple , uwezo mkubwa wa Kamera na muonekano wake ukiwavutia wengi .
Ukiwa kama kijana ambaye hupendi simu kubwa ni vyema ukachagua Simu hii itakufaa zaidi Original version utaipata hapa dukani kwetu kwa Tsh. 365,000 tu .

Je, Makala hii imekuvutia ‘? Nafikiri sasa ukiwa kama kijana na bajeti yako ya mashaka ni vyema ukaangalia machaguo kati ya haya ili upate simu ya uhakika kama vijana walio wengi hupenda kununua simu hizi.

Kwa msaada zaidi tafadhari nitafute 0757468193 WhatsApp au nipigie simu nitaweza kukupa msaada wa ushauri kuhusu simu , Laptop au teknolojia kiujumla , Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Aggrey.​
Samsung Galaxy S22 bei gani
 
Je, Makala hii imekuvutia ‘? Nafikiri sasa ukiwa kama kijana na bajeti yako ya mashaka ni vyema ukaangalia machaguo kati ya haya ili upate simu ya uhakika kama vijana walio wengi hupenda kununua simu hizi.
Nilichopenda huu uzi wako umejaa simu nyingi za Samsung kuliko simu zote

-Team Samsung
 
Back
Top Bottom