Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Kwa wale ambao mkiamka hamjui mkashinde wapi.
Kwa wale ambao mmesoma na mnapambania kupata ajira.
Nimewawekea link ya group ya whatsapp hapa, kinachotakiwa ni wewe kufuatilia na kuwa Fasta.
Watu waliopo Dar wana advantage kubwa zaidi, Kazi kulingana na Level yako ya Elimu [Ualimu, Ufamasia, Marketing Officer nk]
pia ;
Kazi za ndani, Kazi za uhudumu wa Bar, Kazi za nguvu Tofauti tofauti zinapostiwa.
Hili group ni free of Charge, Ni mtu tu amefanya Charity, Kikubwa ni wewe kua attention, unaweza ukapata pa kushinda.
NB: kama kuna mdau ana Connection yeyote ongezea hapo.
VIJANA 🚨NA🧑⚖️AJILA/2