Kwa wale ambao bado hamjui asubuhi mkiamka muelekee wapi.
Kwa wale ambao mmesoma lakini kupata ajira imekua Shughuli.
Nimewawekea link za magroup mawili hapa ya whatsapp, kinachotakiwa ni wewe kufuatilia na kuwa Fasta.
Watu waliopo Dar wana advantage kubwa zaidi, Kazi kulingana na Level yako ya Elimu [Ualimu, Ufamasia, Marketing Officer nk]
pia ;
Kazi za ndani, Kazi za uhudumu wa Bar, Kazi za nguvu Tofauti tofauti zinapostiwa.
Hili group ni free of Charge, Ni mtu tu amefanya Charity, Kikubwa ni wewe kua attention, unaweza ukaokota cha kufanya.
Kuna washikaji zangu wengi wamefanikisha kutokukaa bure kupitia hili group.
NB: kama kuna mdau ana Connection yeyote ongezea hapo.
VIJANA 🚨NA🧑⚖️AJILA/2