OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
..mbona huweki sambamba na kauli ya Lisu kuwa hagombei nafasi ya Mwenyekiti..mnasustain mjadala hauna uzito wowote kwa nchi, mambo yote yameshajibiwa..mnarudia kile kile..huu ni upumbavu sasa! watu wastaarabu they ask once n get on other issues!
View: https://www.youtube.com/watch?v=dFOSSdmVGZc
My Take.
Ni vizuri Mbowe akatekeleza hivi ahadi yake, otherwise atuambie kama haitekeleziki na kwa nini?
Mbowe anaongozwa na machawa wake kufanya maamuzi
View: https://www.youtube.com/watch?v=dFOSSdmVGZc
My Take.
Ni vizuri Mbowe akatekeleza hivi ahadi yake, otherwise atuambie kama haitekeleziki na kwa nini?
Asipogombea?Mbowe akigombeya umwenyekiti nitaamini kweli ni mwendawazimu
Mbowe amewachezesha Sebene Maccm mpaka Makonda akaja na Movie ya Diwani kujigaragaza kwenye matopeMy Take.
Ni vizuri Mbowe akatekeleza hivi ahadi yake, otherwise atuambie kama haitekeleziki na kwa nini?
View attachment 3178698
Alisema bado anazo nguvu za kuendelea kupiga pesa kupitia SACCOSMpaka sasa Mbowe hajasema kama atagombea, tuvute subra
Alisema bado anazo nguvu za kuendelea kupiga pesa kupitia SACCOSMpaka sasa Mbowe hajasema kama atagombea, tuvute subra
Amwachie nani kampuni?Asipogombea?
Dalili ni nzuri; kwamba ataendelea kuweka maslahi ya chama mbele. Atabaki na heshima yake ya utumishi wenye kutukuka, hasa wakati uongozi imara ulipo kuwa ukihitajikaMpaka sasa Mbowe hajasema kama atagombea, tuvute subra