Muhimu sana: Tujikumbushe Ahadi ya Freeman Mbowe kung'atuka 2023

Muhimu sana: Tujikumbushe Ahadi ya Freeman Mbowe kung'atuka 2023


View: https://www.youtube.com/watch?v=dFOSSdmVGZc

My Take.
Ni vizuri Mbowe akatekeleza hivi ahadi yake, otherwise atuambie kama haitekeleziki na kwa nini?

..mbona huweki sambamba na kauli ya Lisu kuwa hagombei nafasi ya Mwenyekiti..mnasustain mjadala hauna uzito wowote kwa nchi, mambo yote yameshajibiwa..mnarudia kile kile..huu ni upumbavu sasa! watu wastaarabu they ask once n get on other issues!
 
Mbowe akigombeya umwenyekiti nitaamini kweli ni mwendawazimu
 
Mpaka sasa Mbowe hajasema kama atagombea, tuvute subra
Dalili ni nzuri; kwamba ataendelea kuweka maslahi ya chama mbele. Atabaki na heshima yake ya utumishi wenye kutukuka, hasa wakati uongozi imara ulipo kuwa ukihitajika

Hakuna anaye weza tena kuichafua heshima hiyo, mbali ya yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom