Muhitimu wa shahada ya sheria natafuta kazi yoyote

Muhitimu wa shahada ya sheria natafuta kazi yoyote

Rocco sifredi

Senior Member
Joined
Jul 15, 2023
Posts
100
Reaction score
197
Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria

Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote
Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo
i/ legal research and writing skills,

ii/ analytical skills,ability to analyze different and complex legal issues and provide solutions

iii/ presentation and public speaking skills

iv/ computer basics excellent.PowerPoint

NIKO TAYARI KUJIFUNZA NA KUFANYA KAZI YOYOTE AMBAYO IPO NDANI NA NJE YA TAALUMA

Natanguliza shukrani napatikana Mwanza lakini nipo tayari kwenda sehemu yoyote ile.
 
Anza na kesi ndogo mtaani za kuelewesha watu. Na mambo madogo ya kisheria. Hivi vijana mnakwama wapi. Muhuri si unao
Huyu ni fresh graduate, ni vema atafute kampuni ya mawakili ajitolee ili apate uzoefu na kisha aende law school. Akipata muhuri wa uwakili achukue meza na kiti na aanze kuchukua kumi kumi za kucertify documents.

Vv
 
Karibu kitaa bob, soon tuu utaachana na hilo neno graduate, hata mimi nilianza hivyo.
Ila sahivi cha muhimu kazi yoyote.
Waajiri hasahasa wa viwandani wakisikia una elimu hawakupi kazi sijui wanahisi tutawasumbua.

Goodluck man kitaa kila mtu na bahati yake.
 
Shukrani
 
Back
Top Bottom