Mwanamme wajibu wake kumpa mwanake na vile vile unaweza ukampa mpenzi wako sio neno lakini na huyo anaepewa nae ajikaze basi unashindwa kumtoa mpenzi wako hata dinner? kila siku wewe huna tuuuu.Kipenda roho hula nyama mbichi, hata wanaume wanaohonga si kwamba hakuna wanawake bali kuna kitu unique anakipata kwake
mwanamke kagawa X5? aisee hizo ofisi zenu zipo wapi nije na mie kutongozwa :biggrin1:
kwa wanavyo msifia hao zuzu wake wawili wanasema ana machine kubwa na hodari wa kuzama chumvini anajisahau hasa
akiwa huko,lakini still sifa hizo sio zakutoa gari looooooooo.
Hapana TB Apple ni tufaha actuallyHivi unajua Shufaa ndio Apple?
we mzanibari nini?
waitwa nani?Twaibaa? lol
Hapana TB Apple ni tufaha actually
mwanamke kagawa X5? aisee hizo ofisi zenu zipo wapi nije na mie kutongozwa :biggrin1:
Aisee, ukishatongozwa unikuwadie na mie hata kazee kamoja hapo kaninunulie walau ka-landrover TDI5!
Yote ni sahihi kwa mujibu wa hawa jamaaIs it Tufaha au Tufaa?
Click hiyo link sheikh wangu upate data au gonga HAPAKina nni hao?
na wewe ni Suhaila? lol
Ndo mambo ya usawa hayo.
Sio wanawake kila siku wanagombea kupata haki sawa bila kujua haki sawa inaenda na wajibu sawa.
Mkitaka haki sawa mtake mpaka haki ya kuhonga sawa na wanaume. Hapo nitaheshimu vilio vya haki sawa.
Hawa wanawake ni wanamapinduzi, wanaondoa dhana ya kwamba ni mwanamme pekee anayeweza kumuhonga mwanamke.
Wako mbele sana ya utamaduni wa kwetu, wanavunja mfumodume.
Ingawa sifagilii materialism katika mapenzi, nawapa heko.
So in the end replacement ya mfumodume
itawafaidisha wanaume zaidi pengine kuliko mfumodume wenyewe..sio?
Replacement ya mfumodume na fairness itahakikisha kila mtu ana haki sawa ya kuchuna na kuchunwa, kuhonga na kuhongwa.
Haki sawa kwa wote.