promiseme
JF-Expert Member
- Mar 15, 2010
- 2,707
- 932
- Thread starter
- #61
Mwanamme wajibu wake kumpa mwanake na vile vile unaweza ukampa mpenzi wako sio neno lakini na huyo anaepewa nae ajikaze basi unashindwa kumtoa mpenzi wako hata dinner? kila siku wewe huna tuuuu.Kipenda roho hula nyama mbichi, hata wanaume wanaohonga si kwamba hakuna wanawake bali kuna kitu unique anakipata kwake