muhonge mwanamme halafu uone kama atachomoa kwako!!!

muhonge mwanamme halafu uone kama atachomoa kwako!!!

Kipenda roho hula nyama mbichi, hata wanaume wanaohonga si kwamba hakuna wanawake bali kuna kitu unique anakipata kwake
Mwanamme wajibu wake kumpa mwanake na vile vile unaweza ukampa mpenzi wako sio neno lakini na huyo anaepewa nae ajikaze basi unashindwa kumtoa mpenzi wako hata dinner? kila siku wewe huna tuuuu.
 
Kimsingi hili ni la wanawake,sijajua pa kuchangia!
 
kwa wanavyo msifia hao zuzu wake wawili wanasema ana machine kubwa na hodari wa kuzama chumvini anajisahau hasa
akiwa huko,lakini still sifa hizo sio zakutoa gari looooooooo.

Hahahaha labda ana mb** ya dhahabu lol
 
Linakuhusu mdogo wangu! Ukijituma kwa wifi Kaunga, who knows! Hakawii kukuhonga kile kisiwa cha saa nane alichorithishwa na babu yake!
Kimsingi hili ni la wanawake,sijajua pa kuchangia!
 
Last edited by a moderator:
Ndo mambo ya usawa hayo.

Sio wanawake kila siku wanagombea kupata haki sawa bila kujua haki sawa inaenda na wajibu sawa.

Mkitaka haki sawa mtake mpaka haki ya kuhonga sawa na wanaume. Hapo nitaheshimu vilio vya haki sawa.

Hawa wanawake ni wanamapinduzi, wanaondoa dhana ya kwamba ni mwanamme pekee anayeweza kumuhonga mwanamke.

Wako mbele sana ya utamaduni wa kwetu, wanavunja mfumodume.

Ingawa sifagilii materialism katika mapenzi, nawapa heko.
 
So in the end replacement ya mfumodume
itawafaidisha wanaume zaidi pengine kuliko mfumodume wenyewe..sio?
 
So in the end replacement ya mfumodume
itawafaidisha wanaume zaidi pengine kuliko mfumodume wenyewe..sio?

Replacement ya mfumodume na fairness itahakikisha kila mtu ana haki sawa ya kuchuna na kuchunwa, kuhonga na kuhongwa.

Haki sawa kwa wote.
 
Replacement ya mfumodume na fairness itahakikisha kila mtu ana haki sawa ya kuchuna na kuchunwa, kuhonga na kuhongwa.

Haki sawa kwa wote.

Haki hizi wanawake wengi hawatai ku share lol
wangependa zibaki kuwa ni haki zao tu lol
 
Me napata wenye shida tu! I think I send out the wrong vibe!! Tatizo hadi wakuhonga wanakuaga hawana mvuto!
 
Back
Top Bottom