Muhoozi Kainerugaba anacheza game gani? Au ni ujinga wa kuzidi tu?

Muhoozi Kainerugaba anacheza game gani? Au ni ujinga wa kuzidi tu?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Huyu jamaa maneno anayotoa kwa umma ni kuna game au hila anachezea watu au ni ujinga umemzidi na Schizo kabisa?
Screenshot_20260410-230052.png
Screenshot_20260410-225552.png
 
Yeye hivi karibuni atatupeleka vitani, atawachokoza Wairani na mara moja watatuma Misile moja kwenye hifadhi yetu ya mafuta huko Hoima
 
Back
Top Bottom