Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

Nimezimiss sana choroko! Anyway kwanza hongera kwa mawazo chanya. Nakushauri ugoogle maeneo ambayo choroko hulimwa na kustawi hapa Tanzania, kisha network na mdau mmoja maeneo hay.
 
Nina dengu tani 120store,aliye na buyer mzuri aniunganishe ntampa kamisheni baada ya biashara,mzigo upo Singida.
 
Habari muda huu jamani,naomba msaada kwa mwenye uzoefu na zao la dengu.shida yangu ni kuhusu kiasi halisi cha mbegu inayohitajika kwa ekari moja,umbali kati ya mstari na mstari,umbali kutoka shina na shina na masuala mengine,ahsante.
 
Habari wakuu,nahitaji kulima kunde kipindi cha mvua hizi za vuli.

Naombeni ushauri wa mbegu,mbolea na masoko
 
Habari,wakuu,tunatafuta Mbaazi za Arusha au Dodoma,tupo dar chang'ombe.kama unayo nicheki
 
Back
Top Bottom