Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuu nitafanya hivyoAu Chuo kama SUA au wizara ya kilimo au kwa wataalamu wowote wataku link na mtu au kikundi kinacholima..
hahahahaaaaa nimeipenda hii ya ka certificate ila tatumia majina yangu halali tofauti na bashite..Au ingia Youtube tafta. au soma vitabu na pages net ukikosa msaada kabisa. tafta maeneo yenye condition zinazofit ilo zao google soma mpaka ufanikiwe Obsession. ukifanikiwa tafta ka Certificate uji award... penye nia pana njia
nashkuru saana mkuu ngoja nianze kufuatilia u tube na google nadhani nitapata ninachokitaka mapema zaidi nakushukuru kwa kunipatia wazo lenye faidaYoutube kuna kila kitu.. boss mwisho wa siku unaji Certifie as a Consultanc na cheti unawaonesha... koz kila swali watakalo uliza hakikisha unalikalisha. Ukiwa na ujuzi sana hawatakagua sanaa.. Ila usiingilie tu swala la Madawa yakuniaje hayajawai muacha mtu salama
Kuanzia kiasi gani unaeza tuma ulaya...? bei inakuajeUkifanikiwa ntafurahi kununua kwenu kama packaging itakuwa nzuri kwa Soko la Ulaya pia mwenye cashew nuts
mkuu tunalenga sana masoko ya india lakini tutaona mbele ya safari itakavyokua kuhusiana na masoko ya ulayaKuanzia kiasi gani unaeza tuma ulaya...? bei inakuaje
Ntakutafta nkivuna nnategemea kupata kilo 600Ukifanikiwa ntafurahi kununua kwenu kama packaging itakuwa nzuri kwa Soko la Ulaya pia mwenye cashew nuts
Itabidi nipate Sample kwanzaKuanzia kiasi gani unaeza tuma ulaya...? bei inakuaje