Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

Ushauri em jaribu ku google maeneo wanayolima iyo apa TZ umtafute afisa kilimo wa eneo husika kwa njia ya sim tafta connection moja mpaka nyingine utampata tuu ukiwa na nia ya kweli.
 
Au Chuo kama SUA au wizara ya kilimo au kwa wataalamu wowote wataku link na mtu au kikundi kinacholima..
 
Au ingia Youtube tafta. au soma vitabu na pages net ukikosa msaada kabisa. tafta maeneo yenye condition zinazofit ilo zao google soma mpaka ufanikiwe Obsession. ukifanikiwa tafta ka Certificate uji award... penye nia pana njia
 
hahahahaaaaa nimeipenda hii ya ka certificate ila tatumia majina yangu halali tofauti na bashite..
 
Youtube kuna kila kitu.. boss mwisho wa siku unaji Certifie as a Consultanc na cheti unawaonesha... koz kila swali watakalo uliza hakikisha unalikalisha. Ukiwa na ujuzi sana hawatakagua sanaa.. Ila usiingilie tu swala la Madawa yakuniaje hayajawai muacha mtu salama
 
nashkuru saana mkuu ngoja nianze kufuatilia u tube na google nadhani nitapata ninachokitaka mapema zaidi nakushukuru kwa kunipatia wazo lenye faida
 
Ukifanikiwa ntafurahi kununua kwenu kama packaging itakuwa nzuri kwa Soko la Ulaya pia mwenye cashew nuts
 
Zina soko zuri sana hizo kitu, hazihitaji mvua nyingi...inapokaribia kuisha ndipo hupandwa. Km saizi waweza panda maana mvua ndio inaishia hivyo...mm nilivuniwa heka zangu mbili wezi walinifilisi (nilikuwa nalima kwa lutumia ma afisa kilimo wa wilaya wakishirikiana na wale wa vijiji) nilifanikiwa ila wajanja wakaniwahi kuvuna. Tumia wataalamu toka idara ya kilimo ofisi ya wilaya au maafisa Kilimo wa vijiji na kata...hao warakusaidia kwa maelezo. Wazee ndio wanauelewa vizuri kuliko vijana walioajiliwa muda mfupi. Mbegu hupatikana kwa nadra na bei yake ipo juu kidogo
 
Habari Yako Mtoa Mada..

vipi kuhusu hiki kilimo, je ulikifanya, nini matokeo yake, tupe mrejesho
 
Habari ndugu zangu
Naitwa Oscar Emmanuel
Mimi Ni Mkulima/mjasiriamali.
Nimelima zao la ndengu na kwa sasa natafuta soko.
Nimevuna tani 14 na bado Dengu nyingi IPO shambani.
Naombeni msaada wenu kwenye masoko.
Kwa mawasiliano.
0687701364
 
Attachments

  • WP_20170723_001.jpg
    WP_20170723_001.jpg
    254.6 KB · Views: 210
Ngoja waje wataalamu, ila mimi nilitaka unipe habari ya kilimo cha dengu, utaratibu.. Mavuno yake unakuaje
 
Si ndo wanazo tengenezea biscuits hizo dengu..??
 
Back
Top Bottom