Muhudumu wa Bar alivyowaabisha jamaa wa "mupe muruke, mupe muruke"

Hahahaaaa ila hamna watu wanakera kama wanaopelekesha wahudumu kwa kigezo cha mteja mfalme
[emoji706][emoji706]
Kweli kabisa mkuu unamwitaje mtu "malaya"?
 
Bia sita kwa uchumi huu
 
Hiyo ni ela ya kula kwa familia ya watu kumi kwa siku
Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama hunywi ni hela nyingi sana ila nikiwa na.msimbazi bar siendi ntakaa kwa duka la mangi tu
 
Akamwambia leta bia mbili mbili, yule muruke....

Mhudumu akaja na bia 10. Kwa hesabu ya haraka kwakuwa wako wanne zingebaki bia 2 kwa ajili yako. Sasa hizo 6 zilipatikanaje..

Chai nyingine muwe mnaweka na tangawizi kidogo basi...
 
Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama hunywi ni hela nyingi sana ila nikiwa na.msimbazi bar siendi ntakaa kwa duka la mangi tu
Hah bado hujaagiz nyama choma kam 20 thousands na usher ivi
 
Kimeumana. Mbwembwe zote kwishney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…