Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, ila kama unayo ya kajala nirushie.Nkurushie?
Bia sita kwa uchumi huuukafurahi mwenyewe...!
Good morning fellas, long time no see
Jana majira ya saa kumi nimeenda Bar fulani ambayo ni hot sana mtaani kwangu, nilikuwa na miadi ya kukutana na jamaa yangu ambaye alikuwa semina so nikawa namsubiri maana nlikuwa na vyeti vyake. Hii bar mi ni regular cuctomer [emoji482][emoji482][emoji482] so meneja na wahudumu wananifahamu vilivyo.
Nikawa nimekaa kwenye meza iliyopo kivulini ina viti vitano ila nilikuwa alone napiga zangu giness smooth bariiiiiidioi[emoji481] meza zingine zilikuwa juani na ndani kulikuwa na kelele na kama kumejaa fulani hivi. Mara wakaja jamaa wawili na madem zao na Alteza[emoji594] yao wamevaa miwani nyeusi[emoji41] na vipensi wakakaa mezani kwani wala sikujali nikaendele kuperuzi kwenye simu yangu [emoji336][emoji336]sina habari.
Wakaagiza vinywaji vya viwili viwili wakaendelea na stori za kwa sauti ya juu hadi wateja wengine wakaanza kututolea macho, walipomaliza mmoja akaropoka "we malaya njoo huku akimpungia muhudumu kwa ishara ya kumuita" alipofika akamwambia lete bia mbili mbili ina muruke huyu jamaa, nikamwangalia nikatabasamu zangu nikaendelea na shughuli zangu.
Yule muhudumu akaja na kapu lina bia 10 akaziweka katikati ya meza akaanza kuzipanga akawapa mbilimbili mi akaniwekea bia 6, wale jamaa wakamuuliza "jamaa hajaagiza hizi bia analipa nani?" Muhudumu kwa lugha ya nyodo na vidole juu kama anawasuta[emoji1305][emoji1305][emoji1305] akawaambia "hizi ni kwa bili yangu upo nyonyo"?
Nikatabasamu kwa jeuriii jamaa wakakasirika wakahama meza na kwenda kukaa juani wateja wengine wakaanza kucheka kile kicheko cha kero na cha kugugumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nikapiga bia tatu mchizi wangu akaja tukaendeleza vinywaji mwisho wa siku nikamlipa dada zile bia sita na zingine tulizokunywa tukasepa.
View attachment 1946817
🤝 thanks for the tipHiyo mchech Harmonise
Wanajuana haoKweli kabisa mkuu unamwitaje mtu "malaya"?
Hiyo ni ela ya kula kwa familia ya watu kumi kwa sikuBia ya 1500 sita si 9000 tu au.
Akamwambia leta bia mbili mbili, yule muruke....Good morning fellas, long time no see
Jana majira ya saa kumi nimeenda Bar fulani ambayo ni hot sana mtaani kwangu, nilikuwa na miadi ya kukutana na jamaa yangu ambaye alikuwa semina so nikawa namsubiri maana nlikuwa na vyeti vyake. Hii bar mi ni regular cuctomer [emoji482][emoji482][emoji482] so meneja na wahudumu wananifahamu vilivyo.
Nikawa nimekaa kwenye meza iliyopo kivulini ina viti vitano ila nilikuwa alone napiga zangu giness smooth bariiiiiidioi[emoji481] meza zingine zilikuwa juani na ndani kulikuwa na kelele na kama kumejaa fulani hivi. Mara wakaja jamaa wawili na madem zao na Alteza[emoji594] yao wamevaa miwani nyeusi[emoji41] na vipensi wakakaa mezani kwani wala sikujali nikaendele kuperuzi kwenye simu yangu [emoji336][emoji336]sina habari.
Wakaagiza vinywaji vya viwili viwili wakaendelea na stori za kwa sauti ya juu hadi wateja wengine wakaanza kututolea macho, walipomaliza mmoja akaropoka "we malaya njoo huku akimpungia muhudumu kwa ishara ya kumuita" alipofika akamwambia lete bia mbili mbili ina muruke huyu jamaa, nikamwangalia nikatabasamu zangu nikaendelea na shughuli zangu.
Yule muhudumu akaja na kapu lina bia 10 akaziweka katikati ya meza akaanza kuzipanga akawapa mbilimbili mi akaniwekea bia 6, wale jamaa wakamuuliza "jamaa hajaagiza hizi bia analipa nani?" Muhudumu kwa lugha ya nyodo na vidole juu kama anawasuta[emoji1305][emoji1305][emoji1305] akawaambia "hizi ni kwa bili yangu upo nyonyo"?
Nikatabasamu kwa jeuriii jamaa wakakasirika wakahama meza na kwenda kukaa juani wateja wengine wakaanza kucheka kile kicheko cha kero na cha kugugumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nikapiga bia tatu mchizi wangu akaja tukaendeleza vinywaji mwisho wa siku nikamlipa dada zile bia sita na zingine tulizokunywa tukasepa.
View attachment 1946817
Hah bado hujaagiz nyama choma kam 20 thousands na usher iviMkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama hunywi ni hela nyingi sana ila nikiwa na.msimbazi bar siendi ntakaa kwa duka la mangi tu
Kimeumana. Mbwembwe zote kwishneyGood morning fellas, long time no see
Jana majira ya saa kumi nimeenda Bar fulani ambayo ni hot sana mtaani kwangu, nilikuwa na miadi ya kukutana na jamaa yangu ambaye alikuwa semina so nikawa namsubiri maana nlikuwa na vyeti vyake. Hii bar mi ni regular cuctomer [emoji482][emoji482][emoji482] so meneja na wahudumu wananifahamu vilivyo.
Nikawa nimekaa kwenye meza iliyopo kivulini ina viti vitano ila nilikuwa alone napiga zangu giness smooth bariiiiiidioi[emoji481] meza zingine zilikuwa juani na ndani kulikuwa na kelele na kama kumejaa fulani hivi. Mara wakaja jamaa wawili na madem zao na Alteza[emoji594] yao wamevaa miwani nyeusi[emoji41] na vipensi wakakaa mezani kwani wala sikujali nikaendele kuperuzi kwenye simu yangu [emoji336][emoji336]sina habari.
Wakaagiza vinywaji vya viwili viwili wakaendelea na stori za kwa sauti ya juu hadi wateja wengine wakaanza kututolea macho, walipomaliza mmoja akaropoka "we malaya njoo huku akimpungia muhudumu kwa ishara ya kumuita" alipofika akamwambia lete bia mbili mbili ina muruke huyu jamaa, nikamwangalia nikatabasamu zangu nikaendelea na shughuli zangu.
Yule muhudumu akaja na kapu lina bia 10 akaziweka katikati ya meza akaanza kuzipanga akawapa mbilimbili mi akaniwekea bia 6, wale jamaa wakamuuliza "jamaa hajaagiza hizi bia analipa nani?" Muhudumu kwa lugha ya nyodo na vidole juu kama anawasuta[emoji1305][emoji1305][emoji1305] akawaambia "hizi ni kwa bili yangu upo nyonyo"?
Nikatabasamu kwa jeuriii jamaa wakakasirika wakahama meza na kwenda kukaa juani wateja wengine wakaanza kucheka kile kicheko cha kero na cha kugugumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nikapiga bia tatu mchizi wangu akaja tukaendeleza vinywaji mwisho wa siku nikamlipa dada zile bia sita na zingine tulizokunywa tukasepa.
View attachment 1946817
Wew wakejeli kuna pistolKabisa.mkuu walitama kuziacha kwa kicheko cha kwikwi kutoka kwa wateja