Muhudumu wa Bar alivyowaabisha jamaa wa "mupe muruke, mupe muruke"

Muhudumu wa Bar alivyowaabisha jamaa wa "mupe muruke, mupe muruke"

Nakumbuka na mm siku moja ilikua jmos mida ya jioni,niko zangu maskani nimetulia nikapigiwa simu na rafik yangu (mwanamke) akanambia yuko tips na rafk zake wawili,mmoja ni mshkaji mwingine ni dem,akanambia kama vipi ni wa join,nikaona poa sabab ilikua ni weekend nikasema acha na mm nikapige mbili tatu,but nilikua na hela yangu mfukoni,mana mchana yake nilikua nimetoka zangu town nimepiga mshindo wangu kama m5 na point..
Nikachomoa hapo kama m2 ivi nikawasha ki crown changu huyoo mpaka tips..
Nikampigia yule bibie nimefika akanielekeza alipokaa basi nikaenda pale na mm nikavuta kiti nikakaa,so nikawa nipo mm wale madem wawili na huyo mshkaji nlomkuta nao so tukawa tupo wanne..
Story zikaanza ila jamaa akawa anajifanya yy ndo yy na anajiona boss,basi bana akamuita muhudumu akamwambia lete Heineken 6,yaani wale madem wapewe mbili mbili na yy mbili jumla sita,mm nikaagiza redbull,na nilikua najilipia pale nafkiri Heineken ilikua ni kama elf 7 hivi..kwa hiyo jamaa akawa anajiona yy ndo kidume baada ya kuagiza redbull jamaa alitoa kauli moja iliyonikera na kuniuma sana jamaa alisema pesa zangu nanunulia hawa madem bia tu,sina hela ya kumnunulia mwanaume bia,daa nikajiskia kufedheheka sana,bas ile redbull nikailipia ila nikasema siwez kukubal huyu mpuuzi anikejel kiasi hiki kumbuka hapo nlikua na kama m2 zipo kwenye gari basi,nikatoka zangu nikaenda kwenye gari nikachomoa kama m1 hivi nikarudi pale nikawa nimetulia nikawa naongea na yule dem ambae ndo aliniita pale,bas baada ya kama dk4 ivi nikamuita muhudumu nikamwambia lete belaire 3.. Najua mazijua vizur belaire zile diamond alikua anazipigia sana debe.. nikamwambia lete tatu nikajinunulia mm na wale madem kumbuka belaire moja pale walikua wanauza laki3 so jumla laki 9,nikazama mfukoni nikatoa bunda nikachomoa hapo laki 9 moja nikairudisha mfukoni,yule jamaa macho yalimtoka sana,zarau zake zilimponza hakika alinyanyasika sana..kilichonifanya nitumie ile laki 9 ni ile kauli ya jamaa,mana jamaa alijua nimeenda pale namtegemea aninunulie bia kumbe wala hata sinaga habar za kutegemea bia za kununuliwa..so usimdharau usie mjua ukamchkulia mtu poa...
Duuh! Laki tisa yote ili kumkomesha tu mtu.

Ningekuwa mimi ningempuuza tu.
 
Good morning fellas, long time no see

Jana majira ya saa kumi nimeenda Bar fulani ambayo ni hot sana mtaani kwangu, nilikuwa na miadi ya kukutana na jamaa yangu ambaye alikuwa semina so nikawa namsubiri maana nlikuwa na vyeti vyake. Hii bar mi ni regular cuctomer [emoji482][emoji482][emoji482] so meneja na wahudumu wananifahamu vilivyo.

Nikawa nimekaa kwenye meza iliyopo kivulini ina viti vitano ila nilikuwa alone napiga zangu giness smooth bariiiiiidioi[emoji481] meza zingine zilikuwa juani na ndani kulikuwa na kelele na kama kumejaa fulani hivi. Mara wakaja jamaa wawili na madem zao na Alteza[emoji594] yao wamevaa miwani nyeusi[emoji41] na vipensi wakakaa mezani kwani wala sikujali nikaendele kuperuzi kwenye simu yangu [emoji336][emoji336]sina habari.

Wakaagiza vinywaji vya viwili viwili wakaendelea na stori za kwa sauti ya juu hadi wateja wengine wakaanza kututolea macho, walipomaliza mmoja akaropoka "we malaya njoo huku akimpungia muhudumu kwa ishara ya kumuita" alipofika akamwambia lete bia mbili mbili ina muruke huyu jamaa, nikamwangalia nikatabasamu zangu nikaendelea na shughuli zangu.

Yule muhudumu akaja na kapu lina bia 10 akaziweka katikati ya meza akaanza kuzipanga akawapa mbilimbili mi akaniwekea bia 6, wale jamaa wakamuuliza "jamaa hajaagiza hizi bia analipa nani?" Muhudumu kwa lugha ya nyodo na vidole juu kama anawasuta[emoji1305][emoji1305][emoji1305] akawaambia "hizi ni kwa bili yangu upo nyonyo"?

Nikatabasamu kwa jeuriii jamaa wakakasirika wakahama meza na kwenda kukaa juani wateja wengine wakaanza kucheka kile kicheko cha kero na cha kugugumia kwa kwi kwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nikapiga bia tatu mchizi wangu akaja tukaendeleza vinywaji mwisho wa siku nikamlipa dada zile bia sita na zingine tulizokunywa tukasepa.

View attachment 1946817
Kids on the block!
 
Back
Top Bottom