Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba.
Ni kwasababu wakina Kikwete wanataka waweke watoto zao, yeye aweke mtombah wake ambaye ni waziri kwenye uongozi wa nchi akiondoka.
Yaani sasa wamejisahau na kuona nchi kama ni yao na ubaya zaidi vyombo vya usalama vyote vimekuwa vyombo vya uchawa.
Hivyo hakuna kitu wanaogopa na hawajali nchi zaidi ya wizi , rushwa na sisi watanzania ni kama wafanyakazi wao. Sisi kwa kikwete na Mama wote ni kama ma houseboy au housegirl