ife President! Huyu haondoki, katu haondoki....Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba. Ni kwasababu wakina Kikwete wanataka waweke watoto zao, yeye aweke mtombah wake ambaye ni waziri kwenye uongozi wa nchi akiondoka. Yaani sasa wamejisahau na kuona nchi kama ni yao na ubaya zaidi vyombo vya usalama vyote vimekuwa vyombo vya uchawa. Hivyo hakuna kitu wanaogopa na hawajali nchi zaidi ya wizi , rushwa na sisi watanzania ni kama wafanyakazi wao. Sisi kwa kikwete na Mama wote ni kama ma houseboy au housegirl
Kikwete Atakufa mdomo wazi
Kumlaani kwa maneno pekee haitoshi.Kikwete Atakufa mdomo wazi
but pressure iongezeke. let us press on!Hata akizuia bado hatafanikiwa. Kuzuia mchakato wa katiba kwa sasa hauna tofauti na ule wa mtu anayetaka kuzuia mvua isinyeshe.
Ngoja yule Simba aachiwe J3 (na wote tuseme ameen)..shughuli ianze...hakuna kulala hadi KATIBA BORA ipatikaneHata akizuia bado hatafanikiwa. Kuzuia mchakato wa katiba kwa sasa hauna tofauti na ule wa mtu anayetaka kuzuia mvua isinyeshe.