Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Acha tuKumbe ni Huyu Ninapenda sana Uigizaji wake nimeanza kumfatilia Tangu akiwa anaigiza na Joti..
Mpaka Hii Filamu Mpya alioigiza Ya NURU(DSTV) Anajua kuvaa uhalisia Sana..
R.I.E.P Duuh.
Ardhi inameza vingi Dr.