Muigizaji dotnata aamua kuokoka na kumfwata yesu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa kwelisijui unasubiri nini wewe??
Muigizaji wa siku nyingi dotnata amemamua kuokoka na kuachana na pombe na sasa
ameweka maombi yake mungu amsaiidie kuondokana na marafiki zake wote walevi waliokuwa
wakimpoteza

dada dot nakupongeza kwa kusema kwa mdomo wako clouds fm maamuzi magumu lakini nakuhakikishia hutoyajutia na kw wale wanaofikiria baya juu yako m ntakuwa shahidi wa aibu yao

kila la kheri
 
Bwana Yesu asifiwe,Kumbe na wewe ni wa kwetu kule mbinguni,tujuane bwana.
 
huu ni mwanzo tu, bado mpaka wote wakubali kuwa Mungu ndiye mwanzo na mwisho.
 
Kwa kwelisijui unasubiri nini wewe??
Muigizaji wa siku nyingi dotnata amemamua kuokoka na kuachana na pombe na sasa
ameweka maombi yake mungu amsaiidie kuondokana na marafiki zake wote walevi waliokuwa
wakimpoteza

dada dot nakupongeza kwa kusema kwa mdomo wako clouds fm maamuzi magumu lakini nakuhakikishia hutoyajutia na kw wale wanaofikiria baya juu yako m ntakuwa shahidi wa aibu yao

kila la kheri

ameamua kuokoka kua muislamu au Mkristo?? Pdidy.. hivi ukisoma biblia yako kuna watu kama Nuhu,Daudi,Ibrahimu,Ayubu walikua na dini gani? lakini biblia haijasema lakini imeeleza tu kua waliishi maisha ya kumpendeza mkuu na nina amini mpaka sasa wapo peponi wanakula mema.....
lakini baada ya kuja Uislamu na Ukristo kumekua na matabaka wale wa Mtume hawa wa yesu... yaani kumekua na Society.. nilipo bold hapo nipe jibu la uhakika kama utaweza
 
Last edited by a moderator:
dotnata mbona ana mahangaiko,mara mkristo mara muislamu aitwe husna,mara karudi ukatoliki mara sasa kaokoka!ah
kila la kheri kwake!
 
ameamua kuokoka kua muislamu au Mkristo?? Pdidy.. hivi ukisoma biblia yako kuna watu kama Nuhu,Daudi,Ibrahimu,Ayubu walikua na dini gani? lakini biblia haijasema lakini imeeleza tu kua waliishi maisha ya kumpendeza mkuu na nina amini mpaka sasa wapo peponi wanakula mema.....
lakini baada ya kuja Uislamu na Ukristo kumekua na matabaka wale wa Mtume hawa wa yesu... yaani kumekua na Society.. nilipo bold hapo nipe jibu la uhakika kama utaweza

Mungu ndiye mfanyaji wa nyakati na majira juu ya uso wa nchi,Nyakati za hawa wazee wetu waliishi kwa sheria
za wakati huo,yyani mtu anaishi kwa kumpendeza Mungu na mwisho wa siku anakwenda Mbinguni.Kumbuka zipo
nyakatui watu waliishi kwa sheria ya Musa ili kumpendeza Mungu.Lakini nyakati hizi tunaishi majira ya NEEMA,yaani
wokovu unapatikana kwa neema tu baada ya kumwamini Kristo Yesu na kumpokea kuwa Bwana na mwokozi wa maisha
yako ili yeye anakupa uwezo wa kuishi maisha ya utakatifu duniani na siku ya mwisho ukifa unakwenda Mbinguni.
Kumbuka mtu kuitwa Mkristo si dini bali ina maana ni mfuasi na mwamini wa Kristo Yesu,hivyo ili uwe mkristo unapaswa
kufanya kama dada Dotnata,yaani umpokee Kristo Yesu AKUOKOE na kukufanya mpya.
 
Kwa kwelisijui unasubiri nini wewe??
Muigizaji wa siku nyingi dotnata amemamua kuokoka na kuachana na pombe na sasa
ameweka maombi yake mungu amsaiidie kuondokana na marafiki zake wote walevi waliokuwa
wakimpoteza

dada dot nakupongeza kwa kusema kwa mdomo wako clouds fm maamuzi magumu lakini nakuhakikishia hutoyajutia na kw wale wanaofikiria baya juu yako m ntakuwa shahidi wa aibu yao

kila la kheri

huku si kuokoka, kuokoka ni swala la kiroho zaid, hapa tusema ameamua kuachana na pombe sawa maana kuna wengi hawanywi pombe na haimaanishi kwamba wameokoka, pia kuna wengi hawana marafiki anaowazungumzia na haimaanishi wameokoka, "mtu akiamua kunifuata na auchukue msalaba wake anifuate: haijasemwa atupe msalaba wake, , ,kiufupi nategemea zaidi kuona matendo ya mtu kuongozwa na roho mt, soma wagalatia5:22
 
Kagongwa weeeeee sasa kachakaa na ngoma juu eti anaenda clouds ameokoka. Hii nchi haikosi vituko
 
Kwa kwelisijui unasubiri nini wewe??
Muigizaji wa siku nyingi dotnata amemamua kuokoka na kuachana na pombe na sasa
ameweka maombi yake mungu amsaiidie kuondokana na marafiki zake wote walevi waliokuwa
wakimpoteza

dada dot nakupongeza kwa kusema kwa mdomo wako clouds fm maamuzi magumu lakini nakuhakikishia hutoyajutia na kw wale wanaofikiria baya juu yako m ntakuwa shahidi wa aibu yao

kila la kheri

Kumbe Mtume Yesu anawakataza pombe, nyie mnaifakamia tu.
 
Neno la Mungu linasema aliye mzima hamuhitaji daktari bali aliye mgonjwa,kama wewe hujawahi tenda dhambi toka uzaliwe uwe wa kwanza kumrushia jiwe dotnata

Back
Top Bottom