Muigizaji dotnata aamua kuokoka na kumfwata yesu

Muigizaji dotnata aamua kuokoka na kumfwata yesu

Do you have any idea about TRINITY (God in three persons) hapa ndipo msingi wa imani ya kikristo ulipo mbona tunaposema Holy Spirit ni MUNGU hamreact mnasema wakristo wana miungu mitatu sisi tunaamini MUNGU mmoja nafsi tatu so nnapo muabudu Yesu ni sawa tu na MUNGU cause yupo ndani yake without associate phisical appearence its like we mtu unanafsi moja lakini ye MUNGU ananafsi tatu thats y tunaita imani you cant evaluate in humanity wise na huo ndo ukristo once you want to be a christian u hav to admit that!

Usinikumbushe zile system za mziki za kizamani, 3 in 1.

Usijidanganye na hesabu za kutungwa , Mungu hana haja ya ku complicate mambo, unajuwa hiyo trinity ilipachikwa lini kwenye biblia?
 
zomba nabii issa ndo mnaweza kumuita mtume nabii kibaka n.k as you want lakini kwenye point ya biblia Yesu (not issa bin mariam) ni MUNGU!
hivi nikianza kumchambua Muhammad (s.a.w) kwa mtazamo wa kibiblia sijui hata ntamueka wapi so we kaa na imani yako na me ya kwangu tusilazimishane kuamini kwa nguvu couse hata ukisema ni panya hautanbadili imani yangu kwa BWANA NA MWOKOZI WANGU YESU KRISTO ALIYE HAI!

To you.Jesus is the SON of God and even God himself,opposed to the muslim belief that JESUS was just another PROPHET and NOT the SON OF GOD.
Everyone is free to beliave what he/she/it beliave.
 
Last edited by a moderator:
amani iwe nanyi!! napita tu hapa eneo hili bila kugeuka!
 
Do you have any idea about TRINITY (God in three persons) hapa ndipo msingi wa imani ya kikristo ulipo mbona tunaposema Holy Spirit ni MUNGU hamreact mnasema wakristo wana miungu mitatu sisi tunaamini MUNGU mmoja nafsi tatu so nnapo muabudu Yesu ni sawa tu na MUNGU cause yupo ndani yake without associate phisical appearence its like we mtu unanafsi moja lakini ye MUNGU ananafsi tatu thats y tunaita imani you cant evaluate in humanity wise na huo ndo ukristo once you want to be a christian u hav to admit that!

Trinity doctrine has more to do with greek philosophy and pagan polytheism than to the monotheism of jews.
The origin belief of Babylons in one god at some time was REPLACED by triads of paganism which later on during the roman empire under COSTATINE ,it was absorbed into catholic church dogma.
Search www.ucg.org/booklet/godtrinity.
Or just google it.
 
nitakuonyesha utakaponiambia kwa nini mkisikia wanakemea mapepo na majini yafe yaishie baharini mnalalamika majini yameumbwa na mungu utakiwi kuyakemea..nikupe ushuhda bibiyangu ametoka hospital juzi nikapeleka watu wapige majeshi yaani maombi kufika pale op mama mmoja amecaa ushungi akaanza kutoa machozi analia tukhisi matatizo ya familia wanaume wakapiga maombi kemea pepo alipotaja jini akaanza kulalamika mnanifukuza niende wapi mimi..sio mimi nasema nenda pale aghakan labda wakusitiri kukwambia yalimtoka majini yule mama baadae tukaachana na bibi kuokoa hii roho iliopotea ...akaombwa aaende kwenye maombi akasema aweze kesho yake wakapiga maombi waksema tunataka mwanao apone haya ni mapepo ya magonjwa..mpwa yalioongeleka wakiwa wanasali watu mi sisem..baadae mama akauliza mnakemeaje mapepeo yameumbwa na allah..majini yameumbw ana allah... M sikutaka kusikiliza zaidi nikacha wanakemea mapepo

Kwa kifupi, umeshindwa kuonesha wapi Yesu anasema "mimi Mungu, niabuduni".

Allahu Akbar, Allahu Akabar, Allahu Akbar.
 
Si bandika hapa tuone? kinakushinda nini?

TIT. 2:14 SUV-SW

ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema.

Sent from my LT26i using Tapatalk 2
 
Akila ni nywele kila m2 ana zake..mungu akubal mtoto wake m1 avishwe nepi apigiliwe misumar nchi 6 eti kwa sbb yako we mzinz,mla kitimoto,mlevi mwanae auwawe kwa sbb ya kukutetea ww ufanye madhambi...wanaombea wakat madaktar wamegoma kwann wasiende muhimbil kuwaponya wa2?
 
Si kimuingiacho mtu kimtiacho najisi bali kimtokacho,hamjui mtu husema yaliyoujaza moyo wake? Huyo Dotnata kaacha pombe na si kuokoka! Yesu alitufundisha dhambi ni kuanzia moyoni na si vitu!(kumbuka mfano wa mtu akimtamani mwanamke asiye wake tu amezini naye moyoni! unganisha na sentensi niliyoanza nayo hapo juu)

Ndugu zangu fanye mbwembwe zote za kidini lakini Ushindi wa kweli wa mkristo ni kuuona ufalme wa mbingu siku ya mwisho hivyo tuishi kwa lengo kuu la kujiandaa kuingia ktk ufalme huo na hakuna namna nyingine zaidi ya kumpenda jirani yako kwanza kama nafsi yako then umpende Mungu kwa nguvu zako zote,akili yako yote na hapo ndio ushindi kamili utapatikana.

Mwisho muumba wetu anatusikitikia kuwa "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA" tuache kuhangaika na madhehebu,tuhangaike na kweli kupitia Bwana wetu Yesu Kristo!!!
 
Yesu sio mtume bali ni mwana wa Mungu aliyeumba mbingu na nchi,naye akaja akakaa kwetu duniani katika vazi la mwili
Kwaiyo mariam alizaa na mungu?! Na yesu wakati mwingine anakua mungu hapo ndipo nisipo paelewa
 
Back
Top Bottom