Mungu ndiye mfanyaji wa nyakati na majira juu ya uso wa nchi,Nyakati za hawa wazee wetu waliishi kwa sheria
za wakati huo,yyani mtu anaishi kwa kumpendeza Mungu na mwisho wa siku anakwenda Mbinguni.Kumbuka zipo
nyakatui watu waliishi kwa sheria ya Musa ili kumpendeza Mungu.Lakini nyakati hizi tunaishi majira ya NEEMA,yaani
wokovu unapatikana kwa neema tu baada ya kumwamini Kristo Yesu na kumpokea kuwa Bwana na mwokozi wa maisha
yako ili yeye anakupa uwezo wa kuishi maisha ya utakatifu duniani na siku ya mwisho ukifa unakwenda Mbinguni.
Kumbuka mtu kuitwa Mkristo si dini bali ina maana ni mfuasi na mwamini wa Kristo Yesu,hivyo ili uwe mkristo unapaswa
kufanya kama dada Dotnata,yaani umpokee Kristo Yesu AKUOKOE na kukufanya mpya.