Yesu sio mtume bali ni mwana wa Mungu aliyeumba mbingu na nchi,naye akaja akakaa kwetu duniani katika vazi la mwili
Hujambo mrembo?
safi i like ur avatar
ni wewe?
dotnata mbona ana mahangaiko,mara mkristo mara muislamu aitwe husna,mara karudi ukatoliki mara sasa kaokoka!ah
kila la kheri kwake!
Mungu ndiye mfanyaji wa nyakati na majira juu ya uso wa nchi,Nyakati za hawa wazee wetu waliishi kwa sheria
za wakati huo,yyani mtu anaishi kwa kumpendeza Mungu na mwisho wa siku anakwenda Mbinguni.Kumbuka zipo
nyakatui watu waliishi kwa sheria ya Musa ili kumpendeza Mungu.Lakini nyakati hizi tunaishi majira ya NEEMA,yaani
wokovu unapatikana kwa neema tu baada ya kumwamini Kristo Yesu na kumpokea kuwa Bwana na mwokozi wa maisha
yako ili yeye anakupa uwezo wa kuishi maisha ya utakatifu duniani na siku ya mwisho ukifa unakwenda Mbinguni.
Kumbuka mtu kuitwa Mkristo si dini bali ina maana ni mfuasi na mwamini wa Kristo Yesu,hivyo ili uwe mkristo unapaswa
kufanya kama dada Dotnata,yaani umpokee Kristo Yesu AKUOKOE na kukufanya mpya.
Yesu sio mtume bali ni mwana wa Mungu aliyeumba mbingu na nchi,naye akaja akakaa kwetu duniani katika vazi la mwili
yesu sio mtume bali ni mwana wa mungu aliyeumba mbingu na nchi,naye akaja akakaa kwetu duniani katika vazi la mwili
Kwa kifupi Yesu ni Mungu...
zomba nabii issa ndo mnaweza kumuita mtume nabii kibaka n.k as you want lakini kwenye point ya biblia Yesu (not issa bin mariam) ni MUNGU!
hivi nikianza kumchambua Muhammad (s.a.w) kwa mtazamo wa kibiblia sijui hata ntamueka wapi so we kaa na imani yako na me ya kwangu tusilazimishane kuamini kwa nguvu couse hata ukisema ni panya hautanbadili imani yangu kwa BWANA NA MWOKOZI WANGU YESU KRISTO ALIYE HAI!

Imani uliokuwa nayo ungemuabudu Mungu mmoja ambae huyohuyo ndio anaabudiwa na Yesu, ungekuwa karibu sana na Yesu kuliko hivi sasa unavyomtenga na unavyopingana na mafundisho yake yote.
Mungu ndiye mfanyaji wa nyakati na majira juu ya uso wa nchi,Nyakati za hawa wazee wetu waliishi kwa sheria
za wakati huo,yyani mtu anaishi kwa kumpendeza Mungu na mwisho wa siku anakwenda Mbinguni.Kumbuka zipo
nyakatui watu waliishi kwa sheria ya Musa ili kumpendeza Mungu.Lakini nyakati hizi tunaishi majira ya NEEMA,yaani
wokovu unapatikana kwa neema tu baada ya kumwamini Kristo Yesu na kumpokea kuwa Bwana na mwokozi wa maisha
yako ili yeye anakupa uwezo wa kuishi maisha ya utakatifu duniani na siku ya mwisho ukifa unakwenda Mbinguni.
Kumbuka mtu kuitwa Mkristo si dini bali ina maana ni mfuasi na mwamini wa Kristo Yesu,hivyo ili uwe mkristo unapaswa
kufanya kama dada Dotnata,yaani umpokee Kristo Yesu AKUOKOE na kukufanya mpya.
nioneshe andiko yesu anaposema "mimi mungu, niabuduni".