Muigizaji dotnata aamua kuokoka na kumfwata yesu


Usinikumbushe zile system za mziki za kizamani, 3 in 1.

Usijidanganye na hesabu za kutungwa , Mungu hana haja ya ku complicate mambo, unajuwa hiyo trinity ilipachikwa lini kwenye biblia?
 

To you.Jesus is the SON of God and even God himself,opposed to the muslim belief that JESUS was just another PROPHET and NOT the SON OF GOD.
Everyone is free to beliave what he/she/it beliave.
 
Last edited by a moderator:
amani iwe nanyi!! napita tu hapa eneo hili bila kugeuka!
 
zomba and tedo kwanini dini zinataka kutufanya tuishi kwa matabaka? na kila mmoja wenu anaiona imani yake ndio sahihi?

Matabaka hakuna, Mungu ni mmoja, tunataka tuelewe nani aliyetu-divide na kutu-rule.
 

Trinity doctrine has more to do with greek philosophy and pagan polytheism than to the monotheism of jews.
The origin belief of Babylons in one god at some time was REPLACED by triads of paganism which later on during the roman empire under COSTATINE ,it was absorbed into catholic church dogma.
Search www.ucg.org/booklet/godtrinity.
Or just google it.
 

Kwa kifupi, umeshindwa kuonesha wapi Yesu anasema "mimi Mungu, niabuduni".

Allahu Akbar, Allahu Akabar, Allahu Akbar.
 
Si bandika hapa tuone? kinakushinda nini?

TIT. 2:14 SUV-SW

ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema.

Sent from my LT26i using Tapatalk 2
 
Akila ni nywele kila m2 ana zake..mungu akubal mtoto wake m1 avishwe nepi apigiliwe misumar nchi 6 eti kwa sbb yako we mzinz,mla kitimoto,mlevi mwanae auwawe kwa sbb ya kukutetea ww ufanye madhambi...wanaombea wakat madaktar wamegoma kwann wasiende muhimbil kuwaponya wa2?
 
Si kimuingiacho mtu kimtiacho najisi bali kimtokacho,hamjui mtu husema yaliyoujaza moyo wake? Huyo Dotnata kaacha pombe na si kuokoka! Yesu alitufundisha dhambi ni kuanzia moyoni na si vitu!(kumbuka mfano wa mtu akimtamani mwanamke asiye wake tu amezini naye moyoni! unganisha na sentensi niliyoanza nayo hapo juu)

Ndugu zangu fanye mbwembwe zote za kidini lakini Ushindi wa kweli wa mkristo ni kuuona ufalme wa mbingu siku ya mwisho hivyo tuishi kwa lengo kuu la kujiandaa kuingia ktk ufalme huo na hakuna namna nyingine zaidi ya kumpenda jirani yako kwanza kama nafsi yako then umpende Mungu kwa nguvu zako zote,akili yako yote na hapo ndio ushindi kamili utapatikana.

Mwisho muumba wetu anatusikitikia kuwa "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA" tuache kuhangaika na madhehebu,tuhangaike na kweli kupitia Bwana wetu Yesu Kristo!!!
 
Yesu sio mtume bali ni mwana wa Mungu aliyeumba mbingu na nchi,naye akaja akakaa kwetu duniani katika vazi la mwili
Kwaiyo mariam alizaa na mungu?! Na yesu wakati mwingine anakua mungu hapo ndipo nisipo paelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…